and 998 others
JF-Expert Member
- Jun 27, 2012
- 28,477
- 40,278
Kula Bata mazeeSiku unadanja, pakuweka ata msiba wako hakuna, ni aibu
nipo kerege nakula bia,near your home placeKula Bata mazee
[emoji16][emoji16]Sasa mbona mnaanza kumuhesabu kama yeye ndo atatangulia kufa,Nyumba unajenga kwa ajili ya mkeo na watoto wasije hangaika kipindi ukisha kufa
Milioni 100, kimahesabu ni nyingi, lakini ukiwazipata na kuamua kuspend ni ndogo mno, huwezi kukaa naxo hata miaka 3. Kuna mzee mmoja, alipostaafu akapata zake mafao hayo, aliamua kutumia kwelikweli. Aliishi amukia bar na kulala hotelini with sweet babies. Nakuambia hazikukaa hata miaka miwili. Leo hii ukimuona anasikitisha ni Kama kichaa, anaongea pekee yake na kunywa kangara. Bahati yake alikuwa amejenga nyumba enzi za utumishi wake. Na kwa taarifa yako haumwi na hajafa. Hivyo, Bora ujenge uishi kwako na bila stress. Ujue pia hela nyingi ambaxo hujawahi kumiliki, Ni ngumu kuzitunza na kukaa naxo.Maisha yote uliishi nyumba ya kupanga, leo ukiwa 60 ndiyo umestaafu na kulipwa mafao. Ndiyo unatafuta kiwanja ujenge nyumba. Ni kheri kuhesabu pesa ya mafao kwa kodi ya nyumba kwa miaka iliyobaki au uingie kwenye changamoto za ujenzi?
Kodi ni laki mbili na nusu kwa mwezi na mafao yako ni milioni 100, bado kuna pension ya laki moja na nusu kila mwezi.
Mama mahiga , mama nyerere mama mwakyembe mama sittaYes mkùuuu
Angalia mama magufui
Mama mkapa
Mama karume
Mama kijazi
Hivi kifo kinachagua nani wa kuanza kufa?Nyumba unajenga kwa ajili ya mkeo na watoto wasije hangaika kipindi ukisha kufa
Mwanaume ndio anaanza from ekperienceHivi kifo kinachagua nani wa kuanza kufa?
Mbona unaangalia upande wa me tu.Kwahiyo kama hujaoa unaweza kuendelea kupanga.