Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Basi sawa. Ngoja tusubiri siku ya kutoka.Hamna hati miliki ya nchi hii na utawala utawatoka kwa aibu
Leo ni 01/01/2020 hongera kwa kuona mwaka mpya.
Mwaka 2020 ni mwaka wa uchaguzi mkuu. Kwa hali ilivyo kama mihimili yote imeshikiliwa na ule mhimili ulijikita chini zaidi kuna haja gani ya kupiga kura?
Wengi wanadai tume huru ya uchaguzi. Muda tulionao utatosha kuiandaa tume huru na iwe tayari kufanya kazi October 2020? Kama wazo lenyewe la tume huru halijawasilishwa wala kupokelewa?
kwa utaahira wako ndiyo unachofikiria ? kwa kosa gani rais mchapakazi kama huyu umfanyie fujo hivi wewe hapo na akili zako unataka rais awe nani hebu tuambie tukujadirir
Haina maana ya Kwenda Kupiga kura ikiwa vitendo vya ukiukwaji wa haki za msingi wa kibinadamu zinaendelea. Kila Mtu ana haki ya kuchagua ama kuchaguliwa, haina maana ya Kwenda kuchagua ikiwa haki yangu ya kuchaguliwa imeminywa.
Sent using Jamii Forums mobile app
hili si kweli; soma Katiba na Sheria ya Uchaguzi. Tusiendekeze uzembe sana; kama kuna watu hawawajibiki kwa mujibu wa sheria wanatakiwa kulalamikiwa wao. Mwisho mtamuona Rais kama Mfalme.Leo ni 01/01/2020 hongera kwa kuona mwaka mpya.
Mwaka 2020 ni mwaka wa uchaguzi mkuu. Kwa hali ilivyo kama mihimili yote imeshikiliwa na ule mhimili ulijikita chini zaidi kuna haja gani ya kupiga kura?
Wengi wanadai tume huru ya uchaguzi. Muda tulionao utatosha kuiandaa tume huru na iwe tayari kufanya kazi October 2020? Kama wazo lenyewe la tume huru halijawasilishwa wala kupokelewa?
Naona Mbowe akiwa rais basi mdada atatulia.kwa utaahira wako ndiyo unachofikiria ? kwa kosa gani rais mchapakazi kama huyu umfanyie fujo hivi wewe hapo na akili zako unataka rais awe nani hebu tuambie tukujadirir
Karibu tuyajenge.Sharti:Uwe na kadi ya CCM isiyopungua "umri" wa miaka 10.Heri ya mwaka mpya 2020Ninaomba niwe mke wa mheshimiwa, kama jimbo la ndani liko wazi
sasa kama hamuwafundishi kanuni wagombea wenu mnategemea ccm wasishinde bila kupingwa ? wao wanawapa semina kwanza wagombea nyinyi ila siku ni fujo tu halafu mnaingia uchaguzini kichwakichwa lazima muweke mpira kwapani tuSiku hizi wanashinda bila kupingwa new strategy
hili si kweli; soma Katiba na Sheria ya Uchaguzi. Tusiendekeze uzembe sana; kama kuna watu hawawajibiki kwa mujibu wa sheria wanatakiwa kulalamikiwa wao. Mwisho mtamuona Rais kama Mfalme.
Kuwa wagombea wa upinzani hawajui kusoma na kuandika oneni aibu kwa uonevu mnaofanyasasa kama hamuwafundishi kanuni wagombea wenu mnategemea ccm wasishinde bila kupingwa ? wao wanawapa semina kwanza wagombea nyinyi ila siku ni fujo tu halafu mnaingia uchaguzini kichwakichwa lazima muweke mpira kwapani tu
sasa kama wanajaza fomu wanakosea kosa ni la nani kusoma wanajua lakini kuna jinsi ya kujaza fomu lazima uelekezwe acheni ulimbukeni mtakuwa watu wa kulalamika tu kama majuhaKuwa wagombea wa upinzani hawajui kusoma na kuandika oneni aibu kwa uonevu mnaofanya
Ni awamu hii ya tano ndiyo wagimbea wa upinzani wameanza kukosea kujaza fomu?sasa kama wanajaza fomu wanakosea kosa ni la nani kusoma wanajua lakini kuna jinsi ya kujaza fomu lazima uelekezwe acheni ulimbukeni mtakuwa watu wa kulalamika tu kama majuha
Kwani ushindi alioporwa lowasa tume ilikuwa haikuwa mfukoni,pale jamii itakaamua fanya mabadiliko tume si kikwazoLeo ni 01/01/2020 hongera kwa kuona mwaka mpya.
Mwaka 2020 ni mwaka wa uchaguzi mkuu. Kwa hali ilivyo kama mihimili yote imeshikiliwa na ule mhimili ulijikita chini zaidi kuna haja gani ya kupiga kura?
Wengi wanadai tume huru ya uchaguzi. Muda tulionao utatosha kuiandaa tume huru na iwe tayari kufanya kazi October 2020? Kama wazo lenyewe la tume huru halijawasilishwa wala kupokelewa?
hata chaguzi za nyuma ilikuwa hivyo mnatetea ujinga badala ya kufundishanaNi awamu hii ya tano ndiyo wagimbea wa upinzani wameanza kukosea kujaza fomu?