Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Hakuna Baba anaweza kufanya huo ujinga, kina mama ndio wanaoharibu hawa Watoto wa sasa hivi, Toto linadekezwa mpaka umri limebarehe unalidekeza tu linakuwa jinga kabisa.Kuna mmoja aliletwa na mama yake kuripoti shule form five tulimcheka mpaka Basi.