Kuna umuhimu wa kuripoti JKT kwa wahitimu wa Form 6?

Kuna mmoja aliletwa na mama yake kuripoti shule form five tulimcheka mpaka Basi.
Hakuna Baba anaweza kufanya huo ujinga, kina mama ndio wanaoharibu hawa Watoto wa sasa hivi, Toto linadekezwa mpaka umri limebarehe unalidekeza tu linakuwa jinga kabisa.
 
Hakuna Baba anaweza kufanya huo ujinga, kina mama ndio wanaoharibu hawa Watoto wa sasa hivi, Toto linadekezwa mpaka umri limebarehe unalidekeza tu linakuwa jinga kabisa.
Na kweli yule jamaa alikuwa jaujau tu.
 
HAKUNA UMUHIMUUU LABDA KAMA TOTO ZEMBE ZEMBEEE LIPELEKEE...!! mimi kuacha kupigisha pindi nipate helaa na kwenda Jkt iliniumaa sanaa yanii mnooo namind mpaka leooo[emoji35][emoji35][emoji35][emoji35][emoji35][emoji35][emoji35][emoji35][emoji35][emoji35][emoji35]
 
Umasikini tu kijana wa kidato Cha sita kwenda huko ni umasikini tu Kama Mzazi upo vizuri mwandalie mtoto future Mapema..
Hao wenye nafasi za kutengenezea watoto future ndio wanakimbilia wapeleka huko......yani huko mbele mtoto hajapita JKT hawezi pata nafasi nyeti.
 
Ni kweli kila mtu ana maoni yake alkini linapotokea wazo kama hili, tunashirikishana kama tunavyofanya hapa na ninaamini kwamba wapo watakaojifunza kitu kwa kupitia haya-haya tunayojibizana.
Ubarikiwe sana.
 
Uamuzi ni wako

Kama una ndoto za kuajiri kwenye majeshi basi nenda

Kama mambo ya jeshi jeshi hutaki achana Nako.

Maana hakunaga jipya kule zaidi ya kukimbizana na na kukosa usingizi mzuri[emoji1]

825kj mtabila I was there
 
Aaah wapi, hujui connection wewe

Sent from my SM-A135F using JamiiForums mobile app
hakuna mtoto wa Mwanasiasa au mtu yoyote wa ngazi ya juu serikalini mtoto wake haendi JKT.

Maana ishawekwa kizazi cha sasa huwezi ingia chombo chochote cha usalama bila kupitia JKT.

In future hata kazi serikalini zitatolewa kwa waliopita JKT tu.
 
Ushauri wangu nenda tu..faida utakuja ukiona baadaye kwa sasa wala
 
Uamuzi ni wako

Kama una ndoto za kuajiri kwenye majeshi basi nenda

Kama mambo ya jeshi jeshi hutaki achana Nako.

Maana hakunaga jipya kule zaidi ya kukimbizana na na kukosa usingizi mzuri[emoji1]

825kj mtabila I was there
Nanukuu: Maana hakunaga jipya kule zaidi ya kukimbizana na na kukosa usingizi mzuri. Mwisho wa nukuu
Atakimbizana na Atakosa usingizi mzuri baadaye kama hataenda. Wewe kama mzazi/mlezi Subiri lakini kwa kijana anashauriwa aende kuripoti kambi aliyopangiwa -atakuja kushukuru.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…