Aisee?!
Ukiliona jengo kwa nje unaona ni jengo lakini yakija matumizi halisi unakuta lina matatizo chungu nzima,
Mengine unakuta vyoo viko mbaliii.
Wakati kuna standards zinajulikana kuwa choo kisikae mbali kwa binadamu wa kawaida anapokuwa anahitaji kwenda haja kiafya.
Hata majengo ya miradi ya PSSF yana changamoto vyoo viko mbali unajiuliza walochora machoro ma Archtech wana weledi gani ??
Kwanini waliweka vyoo mwendo wa mbali hivi ??!