Lord denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 15,819
- 33,255
- Thread starter
- #101
Kuna watu wana ushahidi kabisa namna upigaji unavyofanyika alafu wewe unaleta siasa hapa!Aaah wapi stori za vijiweni
Nimejenga Nzega....Tinde....Isaka halafu Tinde... Maganzo.......gongo tulikunywa nyuma ya Kishosha Guest House na kina Shambenga.....
SUMBAWANGA Laela to Luiche Bridge Camp ilikuwa Kihanda....karibu na Mpui.....
RUVUMA kuanzia Songea mpaka Namtumbo Camp ilikuwa Utwango karibu na Namabengo... Tanzania 🇹🇿
Sasa wewe hii Tanzania yangu umeshiriki kujenga kipi zaidi ya fitna chuki na majungu?????
Wewe ulijenga kama fundi unajua mikataba ilikuwaje? Unajua pesa zilizojenga ni shs ngapi? Unajua kwa pesa hizi barabara ilitakiwa kuwa na viwango gani?