Kuna Upigaji mkubwa sana kwenye Miradi ya Ujenzi hasa Barabara

Katika fuatilia zangu, nimegundua kuwa kuna upigaji mkubwa sana kwenye miradi ya ujenzi hasa majengo mbalimbali na barabara nchini Tanzania.

Kiukweli barabara nyingi nchini zinajengwa chini ya kiwango, kuanzia upana , hadi ubora wa barabara husika na kamwe huoni wakandarasi wakichukuliwa hatua jambo linaloashiria kandarasi husika kupatikana kwa njia ya rushwa.

Nimejaribu kufuatilia namna barabara za wenzetu kwenye mataifa ya hapa hapa Afrika zinavyojengwa mfano Afrika Kusini, Algeria, Ivory Coast, Kenya na hata Morocco na kusema kweli nimekuja kugundua barabara zetu zinajengwa kwa viwango duni sana na kwa gharama kubwa sana tofauti na wenzetu.

Ukitazama barabara nyingi zinazojengwa na Tarura hazina hata sehemu za Watembea kwa miguu (Pedestrians) na nyingi hazifungwi hata taa za kuona usiku kwa watembea kwa miguu na inasemekana fedha hizo huwa zinatengwa kwenye bajeti za ujenzi wa barabara husika.

Tanzania tuna kazi kubwa sana kwa kweli hasa katika uadilifu wa watu wetu na uzalendo wa wstu wetu katika kufanya mambo wakiangalia maslahi ya Taifa badala ya maslahi yao binafsi.View attachment 3097223View attachment 3097224View attachment 3097225
Mbona hujaeleza upigaii wenyewe hasa ni upi
 
Kuna dogo alipata kazi TANROAD yaani ndaninya miezi sita keshakusanya hela ya kutosha na kujenga. Kwa ufupi hii nchi bila kuingia kwenye mfumo wa wizi/ufisadi hutoboi. Ndiyo maana unaona sasa CCM tumekazana kuwapinga akina Mbowe wasiandamane kisa kwa sababu sisi tupo kwenye meza ya chakula tunakula. Ila iko siku haya mambo yatafika mwisho.
 
Katika fuatilia zangu, nimegundua kuwa kuna upigaji mkubwa sana kwenye miradi ya ujenzi hasa majengo mbalimbali na barabara nchini Tanzania.

Kiukweli barabara nyingi nchini zinajengwa chini ya kiwango, kuanzia upana , hadi ubora wa barabara husika na kamwe huoni wakandarasi wakichukuliwa hatua jambo linaloashiria kandarasi husika kupatikana kwa njia ya rushwa.

Nimejaribu kufuatilia namna barabara za wenzetu kwenye mataifa ya hapa hapa Afrika zinavyojengwa mfano Afrika Kusini, Algeria, Ivory Coast, Kenya na hata Morocco na kusema kweli nimekuja kugundua barabara zetu zinajengwa kwa viwango duni sana na kwa gharama kubwa sana tofauti na wenzetu.

Ukitazama barabara nyingi zinazojengwa na Tarura hazina hata sehemu za Watembea kwa miguu (Pedestrians) na nyingi hazifungwi hata taa za kuona usiku kwa watembea kwa miguu na inasemekana fedha hizo huwa zinatengwa kwenye bajeti za ujenzi wa barabara husika.

Tanzania tuna kazi kubwa sana kwa kweli hasa katika uadilifu wa watu wetu na uzalendo wa wstu wetu katika kufanya mambo wakiangalia maslahi ya Taifa badala ya maslahi yao binafsi.View attachment 3097223View attachment 3097224View attachment 3097225
Ubora wa barabara/jengo una changiwa na factors nyingi kama bajeti, utaalam(design) pamoja na technology. Siyo kila barabara mbovu inaupigaji.
Kwa wakazi wa Dar maeneo ya Sinza kuna barabara ya Vatican haijawekwa lami hadi leo for almost 8yrs though maandalizi yote yalifanyika ila mkandarasi hajalipwa kwa kazi alizofanya na kupelekea Mkadarasi kutoendelea na kazi (hapo hakuna upigaji)
Ujenzi wa kiwango nao utegemea na pesa uliyo nayo, kwenye ujenzi napo kuna bidhaa kulingana na fedha/budget iliyopo. Mfano mdogo tu ni watu wanajenga nyumba kwa kutumia tofali za inch 5 badala ya inch 6 tena zenye mchanganyiko wa mchanga na cement badala ya mchanganyiko wa cement :mchanga:chipping. Hiyo yote ni kulingana na mfuko nasiyo upigaji.
Kampuni nyingi kubwa za ujenzi za Magharibi zimekimbia soko letu kutokana na ufinyu wa budget zetu na wao hawawezi ku-compromise ubora. Mchina amekuwa dominant kwani anaweza tupa bidhaa kwa bei yetu.
Siasa nayo imekuwa ni moja ya factors kwa upande wetu, tunataka budget ya kujenga 5km za lami zijenge 20km, hivyo kupelekea ku-compromise quality kwa kuongeza maji kwenye mboga(mfano tu).
Upigaji upo hila haufanyi kuwa na ubora afifu.
 
Kwa hii elimu ya kichoko tuliyonayo ya kukariri "what is civics?" ,inabidi tupambane zaid
 
Ku compromise quality ndo ujenge barabara ambazo hazina njia za waenda kwa miguu?

Mtu unatembea pembeni ya barabara gari zinakupigia honi ukiyumba kidogo umegongwa? Hapana kwa kweli

Huo ni ujinga. Na tuseme ukweli tu, tuliachana na wazungu kwenye ujenzi wa miradi yetu kwa sababu wao sio watoa rushwa wazuri compared to Chinese full stop
 
Kuna barabara Zina mashimo ,mpka najiuliza hawa watu walilazimishwa kujenga ,,eeh jaman I am crying for this country,I love my Tanzania and Africa my mother
 
Tumefeli kwenye kila kitu.

Watu wanawaza upigaji na kujinufaisha binafsi tu!
 
Wachina hawahawa wengine wanaenda kujenga Rwanda lakini hawajengi chini ya kiwango.
Shida pia iko miongini mwetu tujali sana maslahi binafsi kuliko corporate .
Yes, hata barabara ya Tbora to Mpanda imejengwa na wachina ila ina kiwango kizuri tu, tatizo ni baadhi yetu, anglia ule mradi wa pale Iringa-Kilolo nasikia wanapigana hadi na Consultant, mchina anasema kawaweka mfukoni hakuna mtu wa kumwambia kitu
 
Tumefeli kwenye kila kitu.

Watu wanawaza upigaji na kujinufaisha binafsi tu!
Huwa naumia sana kuona mmb kama hayo,hiv n kwel watu hawapendi taifa lao kwa namna hyo ,yaan unakula pesa za mradi ?,eeeh n haki wazungu kututukana
 
Kuna Upigaji katika Miradi yote ya Kiserikali Miradi ndio MIRADI inayonufaisha matumbo ya watu
 
Tanza
Katika fuatilia zangu, nimegundua kuwa kuna upigaji mkubwa sana kwenye miradi ya ujenzi hasa majengo mbalimbali na barabara nchini Tanzania.

Kiukweli barabara nyingi nchini zinajengwa chini ya kiwango, kuanzia upana , hadi ubora wa barabara husika na kamwe huoni wakandarasi wakichukuliwa hatua jambo linaloashiria kandarasi husika kupatikana kwa njia ya rushwa.

Nimejaribu kufuatilia namna barabara za wenzetu kwenye mataifa ya hapa hapa Afrika zinavyojengwa mfano Afrika Kusini, Algeria, Ivory Coast, Kenya na hata Morocco na kusema kweli nimekuja kugundua barabara zetu zinajengwa kwa viwango duni sana na kwa gharama kubwa sana tofauti na wenzetu.

Ukitazama barabara nyingi zinazojengwa na Tarura hazina hata sehemu za Watembea kwa miguu (Pedestrians) na nyingi hazifungwi hata taa za kuona usiku kwa watembea kwa miguu na inasemekana fedha hizo huwa zinatengwa kwenye bajeti za ujenzi wa barabara husika.

Tanzania tuna kazi kubwa sana kwa kweli hasa katika uadilifu wa watu wetu na uzalendo wa wstu wetu katika kufanya mambo wakiangalia maslahi ya Taifa badala ya maslahi yao binafsi.View attachment 3097223View attachment 3097224View attachment 3097225
Tanzania ni moja ya nchi pekee duniani ambazo wajinga ndio watumishi wa umma,, wajinga ndio wasimamizi wa fedha za umma,,wajinga ndio wako mstari wa mbele kuijenga nchi,,angalia cv ya mama yenu haina darasa la 14,cv imejaa certificates tuu then leo anaongoza nchi,,unategemea nini???
 
Huwa naumia sana kuona mmb kama hayo,hiv n kwel watu hawapendi taifa lao kwa namna hyo ,yaan unakula pesa za mradi ?,eeeh n haki wazungu kututukana
Wanaishi kwa kujiangalia wao na familia zao. Neno maslahi mapana ya nchi na wananchi lipo midomoni mwao tu wala sio kwenye uhalisia na utendaji wao
 
Ile barabara ya Rombo mpaka Tarakea huenda kulikuwa na upigaji, mbona sioni mifereji ya maji?
 
Tanza

Tanzania ni moja ya nchi pekee duniani ambazo wajinga ndio watumishi wa umma,, wajinga ndio wasimamizi wa fedha za umma,,wajinga ndio wako mstari wa mbele kuijenga nchi,,angalia cv ya mama yenu haina darasa la 14,cv imejaa certificates tuu then leo anaongoza nchi,,unategemea nini???
Kuna kaukweli fulani kwenye maneno yako. Wajinga wengi ndo wanashika nafasi na maofisi Tanzania. Sasa ukichanganya na ubinafsi wao ndo tafrani kabisa!
 
Back
Top Bottom