chai ya rangi
JF-Expert Member
- Mar 7, 2026
- 1,042
- 3,095
Mimi nipo mkoa Y, na Kuna mwanamke X ninampenda sana.
Nimefanya sehemu yangu kumuelezea jinsi ninavyompenda na akakubali.
Baada ya hapo nae niliona ameanza kunielewa akawa ananitafuta kila mara kunisalimia nami nikawa najituma kwake kwa namna fulani
Lakini huyu mwanamke X baada ya muda mrefu nikaona kitu kimoja cha kujirudia
Kila muda tunakutana tu kwenye sehemu formal ambazo hatuwezi kuwa huru.
Kila muda tunakutana mfano sokoni, dukani au ng'ambo ya barabara lakini nikimwambia tukutane sehemu Z hakubali
Nikimwambia tukutane sehemu Z ananipa visingizio kadhaa, sasa naomba ushauri wa mbinu bora kutoka kwa wanawake ( najua hawa wana experience zaidi ). na pia naomba ushauri kutoka kwa wakuu wazee wa kazi ili kupata mawazo mbadala.
Je, nifanyaje ili huyu msichana X aweze kuja sehemu Z ?