Castle_Lite
JF-Expert Member
- Sep 10, 2016
- 4,646
- 10,442
Hii ya mwisho.asante sana mkuu barikiwa
Kumshawishi zaid.
Akija kukusalimia kesho hakikisha uwe umeandaa bahasha na kumpa. Mwambie zawad yake.
Weka hata ubuyu wa elfu 2. Au chochote.
Tena mpe bahasha mbele za watu.
Weka ujumbe mfupi tu.
Ila usiseme unampenda au kumtongoza .
Maneno yawe kumsifia kitu chake alichonacho kizur zaid lakin pia usiweke tamaa za ngono.
Mfano , "unatabasamu zuri, kila nikikuona unafanya nijisikie na amani"
Nia ni kuongeza Ushawishi.
Kuna namna kuna kitu hakiko sawa na anakukwepa.
M out.