chai ya rangi
JF-Expert Member
- Mar 7, 2026
- 1,042
- 3,095
🤭Tuma muamala, halafu andika meseji fupi tu " tukutane sehemu fulani saa fulani"
nitafuata kwabababu nina malengo nae ila kwa sasa nifanyaje ?Fuata njia sahihi awe mkeo kabisa inaonekana hataki kuchezewa
nivipi nielekeze zaidiBadili chambo
Kuna kosa nalihisi la kiufundi ulilolitumia katika 'tongoza mode'.Mimi nipo mkoa Y, na Kuna mwanamke X ninampenda sana.
Nimefanya sehemu yangu kumuelezea jinsi ninavyompenda na akakubali.
Baada ya hapo nae niliona ameanza kunielewa akawa ananitafuta kila mara kunisalimia nami nikawa najituma kwake kwa namna fulani
Lakini huyu mwanamke X baada ya muda mrefu nikaona kitu kimoja cha kujirudia
Kila muda tunakutana tu kwenye sehemu formal ambazo hatuwezi kuwa huru.
Kila muda tunakutana mfano sokoni, dukani au ng'ambo ya barabara lakini nikimwambia tukutane sehemu Z hakubali
Nikimwambia tukutane sehemu Z ananipa visingizio kadhaa, sasa naomba ushauri wa mbinu bora kutoka kwa wanawake ( najua hawa wana experience zaidi ). na pia naomba ushauri kutoka kwa wakuu wazee wa kazi ili kupata mawazo mbadala.
Je, nifanyaje ili huyu msichana X aweze kuja sehemu Z ?
asante sana mkuuKuna kosa nalihisi la kiufundi ulilolitumia katika 'tongoza mode'.
Wakati ukimtokea ulimlisha maneno yenye kuleta 'maisha bora kwa kila mTz', ukatoa na ahadi za kuoa na kuishi naye.
Kwa binti mwenye kujitambua, hawezi kuingia kwenye mtego wa ufuska kwa mtu ambaye kakupima na kukuona unajiheshimu na unafaa kuwa mumewe.
Kama ni hivyo fanya process umuoe kweli.
Hilo la kwanza, la pili kama ulimtongoza kwa malengo ya kumfanya hawara na anaendelea kukaza na kujifanya mtakatifu, ingia gharama mhonge kumlainisha tuone.
Ukitumia mbinu hiyo ukaona anaendelea na 'sitaki nataka' yake, piga chini na upotezee mazima asikuchezee saikolojia na muda wako.
nianze kuhonga mapema hivi ?Muoneshe wewe kuwa ni watofaut na wanaume wengne aliowah kuwa nae...
Hakuna sacrifice yoyote ya rasilimali uliyotumia ili kumvutia zaidi ya kuomba meeting za kitoto..
Sio muda atakuweka friendzone
Usimpe cash ila tumia hela kumvutia badala ya kumuomba meeting za barabaran,tafuta sehem yenye hadh ya mwanamke wako itasaidia kumsogeza karibunianze kuhonga mapema hivi ?
Wew unalengo la kupiga show au kumuoa, alafu kama unataka ushauri kwa mambo ya kishamba uache.. focus na helaMimi nipo mkoa Y, na Kuna mwanamke X ninampenda sana.