Kuna ushauri ninauomba kutoka kwa baadhi ya watu wenye busara

Wew unalengo la kupiga show au kumuoa, alafu kama unataka ushauri kwa mambo ya kishamba uache.. focus na hela
Pia ukiona mwanamke anakwepa anasababu zake, muulize sababu ni ipi.. akwambie kama anangoma je? πŸ˜€
nina lengo la kumuoa kabisa ndo maana nimeomba ushauri
 
Sijui kama nina busara au vipi.

Ila nianze na wewe. Kwavyovyote hiyo sehemu unayoitaja kama sehemu Z ni aidha gheto, nyumbani kwako au Lodge. Kisaikolojia kama kusema lodge au gheto kwako unaona shida kutaja ni wazi hata wewe hujaweka wazi hisia zako kwake hivyo anakataa kukufikishia ujumbe jiongeze kushawishi.

Ndugu hii jinsia ni kweli wana hamu sana ila huwezi kumlazimisha pubda kunywa maji. Unachotakiwa wewe kufanya ni kuhakikisha anasikia kiu. Hapo namaanisha mteke kihisia kwanza kama ni gheto au nyumbani atakuja mwenyewe.
 
WEWE HAUNA BUSARA
 
nashukuru sana nitajaribu kufanya hivyo
 
Hapo kwenye "baadhi ya members wenye busara" ingekuwa bora zaidi ukawataja maana kuna members hawana akili wasiopaswa kucomment hapa
wote wanabusara lakini katika maeneo tofauti, mimi namaanisha kwenye eneo hili
 

mara zote hizo mnazokutana mnakuwa mmepanga?.
au bahat mbaya?.

Sehem informal ndio zipi?.

Najua unajua kuwa mwanamke kwa mara ya kwanza humpeleki Lodge moja kwa moja.
Mpe ratiba kuwa siku flan naomba niwe na ww Lunch au dinner na drinks alaf tukitoka hapo tutajua tunaenda wap.

Na akija na akichomoa kwenda Lodge usipanick. Be gentleman,.
Mruhusu arud kwake.
Maana Kuna namna umekosea sehem kwahiyo bado anashauriana na halmashaur ya Ubongo wake.
 
hua anakuja sehemu ninapofanyia kazi yeye mwenyewe tu bila kupanga. nitafata ulivyoshauri
 

Umesema kweli.
Kuna Code hajaiweka sawa.
Unakubalije kukutana na mwanamke ili uongee mambo yenu barabaran?.

(Labda kama ni vijana wadogo. Ndio mnaanza mapenzi).

Gia nzur ni Chakula.
Tena siku unakutana nae kwa chakula mpelekee na kazawadi.
Ukimaliza mpe na nauli.

Alaf unaomba mkutane siku nyingne mle na useme kuwa kuna sehem unataka kuwa nae kwa siku hiyo.

Akipiga chenga. Muache.
Dunia ina wanawake wengi na wako ambao ni type yako.
Ukilazimisha utachunwa. Na kuweka friends zone.
 
hua anakuja sehemu ninapofanyia kazi yeye mwenyewe tu bila kupanga. nitafata ulivyoshauri
Kumbe unajiweza.

Panga mtoko bro.
Alaf kingine usije thubutu kutongoza kwa simu . πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.
Ukimtongoza kwa sms jua Hata hiyo sehem utakayomwita hatakuja.
Ataona ww ni mwanaume wa hovyo.
Na umemdharau na huwa unatongoza tongoza wanawake hovyo kwa simu.

Be a Man. Take responsibility.
Na hatua zaid kuonyesha unamjal na kumpenda .
 
yaani inaonekana kwao anabanwa anakuja kwa kuibia dk 5 kusalimiana na kuondoka

Kwani ni mwanafunzi?.

Kama ni msichana na ana akili zake . Nikuhakikishie tu, hawez kosa muda wa kukaa na ww mchana.

Hawez kulala nje. Ila hata mchana na jion hawezi?.
Mbona anaenda kusalimia marafik zake akiwa idle? Ameshindwaje kwako?

kuna kitu kiko off hapo bro.
Na usipoweka sawa utamkosa.
 
asante sana mkuu barikiwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…