Castle_Lite
JF-Expert Member
- Sep 10, 2016
- 4,646
- 10,442
Hii ya mwisho.asante sana mkuu barikiwa
huu ushauri nitachanganya na akili zangu kwasababu ni mgumu kwenye uhalisia pia uta athiri uhusiano wa baadaeUnda sms ya mapenzi yenye msisitizo wa kumtaka manzi mwingine mkutane upunguze "upwiru" Jifanye kama umekosea mtumie huyohuyo anaezingua kuja location Z.
Akimind mpe makavu kwamba humuelewi ndo maana umeamua kupunguza kichupa upande mwingine.
Una umri gani kwanza?huu ushauri nitachanganya na akili zangu kwasababu ni mgumu kwenye uhalisia pia uta athiri uhusiano wa baadae
wengine huwa wanafurahi kwasababu kuna vitu wameshavipata kutoka kwako. Na je kama namkubali nitampigahe chini kirahisi nitakua najikomoa na mimi piaAngekua anakupenda asingegoma kuja piga chini pita hiv usimtafute wanawake wanaumiaga ukimtongoza af usimle
Bas utajua mwenyewe na maisha yakowengine huwa wanafurahi kwasababu kuna vitu wameshavipata kutoka kwako. Na je kama namkubali nitampigahe chini kirahisi nitakua najikomoa na mimi pia