Kuna utofauti sana kati ya biashara inayomilikiwa na muajiriwa na biashara ya mtu aliyejiajiri pekee

Bolotoba

JF-Expert Member
Joined
Apr 24, 2024
Posts
3,424
Reaction score
7,706
đŸ‘‰Biashara inayomilikiwa na muajiriwa Ina possibility kubwa ya kusurvive kuliko ya aliyejiajiri pekee sababu zifuatazo

đŸ‘‰ Mikopo kwa waajiriwa ni rahisi kuicover Bila kuathiri asset zao ambazo hazihamishiki

đŸ‘‰ Biashara za walioajiriwa unaweza Pata wa kukushika mkono na kukuwekea safety wenye D2 mmenielewa (siwezi eleza sana)

đŸ‘‰ Infact, nimekuwa nikijiuliza kwanini mtu yuko radhi afunge biashara yake milion 6 and above akimbilie kwenye ajira ya serikali now Nina majibu

(security and assurance is all about)

Biashara za waliojiajiri peke ake hazina uhakika sana, sales ni rise and fall!

Sema, tuendelee kupambana tu tulioamua kujiajiri tunaishi kwa kutegemeana! đŸ’ª
 
Mkuu ueleweki unacho taka kumanisha?

Kuajiliwa ni utumwa huwezi kutoboa vicious cycle of poverty namshahara tu.

Waajiriwa wengi sio wafanya biashara mindset zao ziko kwenye mshahara anakopa 20m benki kilipa miaka mitano anafungua duka la vitengi wanawake shemeji yake unategemea nini hapo?
 
Ila kwa ground mambo ni vice versa, wengi walioajiriwa hufanya biashara kama kitu watakachokisimamia katika muda wa ziada na biashara hufa
Watu unakuta wa nashare huko kwenye ma biashara Ila hawatasema
 
Chukua formula hii itakusaidia
1.Fanya kazi kwa mda fulani kisha fanya kama ifuatavyo
A.Jenga nyumba kubwa ya kuishi ya familia ambayo itakuwa na ofisi mbele kama vile frem za kupangisha
B.Jenga nyumba ya kupangisha ambayo pia itakuwa na ofisi mbele kama vile frem za kupangisha
C.Weka akiba katika kipindi ambacho utakuwa unafanya kazi,kwa ambao wanafanya kazi kwa muhindi wajitahidi angalau uwe na milioni 8
Ukimaliza kufanya kama nilivyoeleza hapo juu unaweza kuacha kazi na kujiajiri.Kama ukiwa unajielewa na ukawa na msimamo thabiti lazima utatoboa
 
For 10 years hapa si unKuwa ushakufa kabisa

Waajiriwa wana uhakika wa mkopo lakini biashara hazikai, ni asilimia ndogo sana ya waajiriwa wameweza kuzi maintain biashara zao.

ndio maana waajiriwa wengi wanapostaafu huwa wanaumiza vichwa wafanye biashara ipi badala ya kutumia mafao kupanua biashara.
 
đŸ‘‰Biashara inayomilikiwa na muajiriwa Ina possibility kubwa ya kusurvive kuliko ya aliyejiajiri pekee sababu zifuatazo

đŸ‘‰ Mikopo kwa waajiriwa ni rahisi kuicover Bila kuathiri asset zao ambazo hazihamishiki

đŸ‘‰ Biashara za walioajiriwa unaweza Pata wa kukushika mkono na kukuwekea safety wenye D2 mmenielewa (siwezi eleza sana)

đŸ‘‰ Infact, nimekuwa nikijiuliza kwanini mtu yuko radhi afunge biashara yake milion 6 and above akimbilie kwenye ajira ya serikali now Nina majibu

(security and assurance is all about)

Biashara za waliojiajiri peke ake hazina uhakika sana, sales ni rise and fall!

Sema, tuendelee kupambana tu tulioamua kujiajiri tunaishi kwa kutegemeana! đŸ’ª
Kbsaa hasa ishu za mkopo , Huwa wanadhaminika haraka kazini. Mtumishi wa umma tofauti na unaejipigania.
 
Ila kwa ground mambo ni vice versa, wengi walioajiriwa hufanya biashara kama kitu watakachokisimamia katika muda wa ziada na biashara hufa
Kabisa. Ni wachache sana nimeona wameajiriwa halafu pia wana run business fresh kabisa huwa naona wengi wao

Wakilalamika tu,biashara inataka Muda wako na juhudi zako kwenye upanuzi wa hiyo biashara
 
Ukiajiriwa shida usimamizi,
Biashara za waajiriwa zinakufa sanaaa, umeanzisha biashara since day one umeweka wafanyakaz,
Hujui in and out
 
Waajiriwa wengi sio wafanya biashara mindset zao ziko kwenye mshahara anakopa 20m benki kilipa miaka mitano anafungua duka la vitengi wanawake shemeji yake unategemea nini hapo?
Hayo ni maneno ya motivational speakers. Note that mindset haiendeshi biashara, bali mtaji
 
"Biashara za waliojiajiri peke ake hazina uhakika sana, sales ni rise and fall!"

Miujiza kwa tuliojiajiri ipo hapo kwenye rise and fall ya mauzo.

Kuna siku au mwezi unaweza kupiga hela mpaka ukashangaa mwenyewe.
 
Ndio maana nifer kaajiriwa.
Ndio maana vunjabei kaajiriwa.
Ndio maana zahoro matelephone kaajiriwa.
Ndio maana Erick ford/Homebase kaajiriwa.
All the best
 
Mkuu ueleweki unacho taka kumanisha?

Kuajiliwa ni utumwa huwezi kutoboa vicious cycle of poverty namshahara tu.

Waajiriwa wengi sio wafanya biashara mindset zao ziko kwenye mshahara anakopa 20m benki kilipa miaka mitano anafungua duka la vitengi wanawake shemeji yake unategemea nini hapo?
Sasa unataka amuweke nani labda nNdio anaweza kufanikiwa kwenye biashara yake?
 
Breaking News - Tanzania yaimport watu 333,000,000 kutoka China kuja nchini kutufundisha uendeshaji wa Biashara katita wimbi la Kupoteza muda na kumtumikia Kafiri
 
Back
Top Bottom