Kuna utofauti sana kati ya biashara inayomilikiwa na muajiriwa na biashara ya mtu aliyejiajiri pekee

Breaking News - Tanzania yaimport watu 333,000,000 kutoka China kuja nchini kutufundisha uendeshaji wa Biashara katita wimbi la Kupoteza muda na kumtumikia Kafiri
Screenshot_2024-04-28-12-12-23-30.png
 
Breaking News - Tanzania yaimport watu 333,000,000 kutoka China kuja nchini kutufundisha uendeshaji wa Biashara katita wimbi la Kupoteza muda na kumtumikia Kafiri

Waliopo wanatafuta Biashara ya kutulia na kuendelea na maisha katikati ya Vita vya Hauji kutulia kichwa..

Toa Mbinu za Kusimamisha nchi - Mie Breaking news: Tanzania yaimport wachina 333,000,000 kwa ajili ya kusimamia mitaji na uendeshaji wa biashara Tanzania
 
👉Biashara inayomilikiwa na muajiriwa Ina possibility kubwa ya kusurvive kuliko ya aliyejiajiri pekee sababu zifuatazo

👉 Mikopo kwa waajiriwa ni rahisi kuicover Bila kuathiri asset zao ambazo hazihamishiki

👉 Biashara za walioajiriwa unaweza Pata wa kukushika mkono na kukuwekea safety wenye D2 mmenielewa (siwezi eleza sana)

👉 Infact, nimekuwa nikijiuliza kwanini mtu yuko radhi afunge biashara yake milion 6 and above akimbilie kwenye ajira ya serikali now Nina majibu

(security and assurance is all about)

Biashara za waliojiajiri peke ake hazina uhakika sana, sales ni rise and fall!

Sema, tuendelee kupambana tu tulioamua kujiajiri tunaishi kwa kutegemeana! 💪
Mkuu iko hivi biashara ina utaalamu wake na si kila mtu ana huo utaalamu wa biashara.
Sasa hapo ulichoongelea wewe ni ile kitendo cha muajiriwa kuwa na biashara halafu kwa vile hana utaalamu wa biashara anafanya kama fasheni so kwa vyovyote lazima kuna hasara atakuwa anazipata halafu ikishatokea hiyo hasara anaenda kuchukua mshahara wake au mkopo anaenda kuongezea kwenye biashara yake ili kufidia gepu sasa hapo atakuwa anafanya biashara au anacheza?
Lengo la biashara ni kupata profit ambayo ndio inakusaidia kuendesha maisha yako kwa ujumla.
 
👉Biashara inayomilikiwa na muajiriwa Ina possibility kubwa ya kusurvive kuliko ya aliyejiajiri pekee sababu zifuatazo

👉 Mikopo kwa waajiriwa ni rahisi kuicover Bila kuathiri asset zao ambazo hazihamishiki

👉 Biashara za walioajiriwa unaweza Pata wa kukushika mkono na kukuwekea safety wenye D2 mmenielewa (siwezi eleza sana)

👉 Infact, nimekuwa nikijiuliza kwanini mtu yuko radhi afunge biashara yake milion 6 and above akimbilie kwenye ajira ya serikali now Nina majibu

(security and assurance is all about)

Biashara za waliojiajiri peke ake hazina uhakika sana, sales ni rise and fall!

Sema, tuendelee kupambana tu tulioamua kujiajiri tunaishi kwa kutegemeana! 💪
Ndio matumaini inajipa?
 
Back
Top Bottom