Hapana Kahata kacheza kwa sheria hizi hizi za CAF zinazotumika hadi sasa. Angalia chini kabisa utaona hizo sheria zipo tokea 2019 hivyo Kahata na Chikwende wamesajuliwa na kuzikuta hizo sheriaNadhani huwenda kuna uwezekano wa sheria za CAF kwa wakati huo zilikuwa zinaruhusu hilo jambo
Na ndio maana pengine hata Yanga ilishindwa kutumia opportunity hiyo kwenye ishu ya Kambole
Inawezekana hayo ndio maelekezo ambayo ameambiwa na Club ayaseme iwapo akihojiwa swali hilo.Ulisema nimeleta speculations kuhusu Kramo kutojua kuwa hajasajiliwa na Simba, ila umeiona video niliyopost hapo juu ambayo Kramo alisema anaenda Zanzibar kujiandaa na wenzake kuisaidia katika Champions League?
Iangalie halafu toa maoni yako ndiyo tuendelee na mengine.
Nia ni kuutafuta na kuukata mzizi wa fitna ndiyo maana hata watu wa Yanga waliochangia kwa staha tumeenda nao fresh bila kurushiana vile vijembe vyetu vya kila siku.Mjadala mzito ,kila mtu anaamini vyake ila uzuri wote simba sc
Duh kwa hiyo klabu inamwambia mchezaji adanganye kuwa amesajiliwa huku hajasajiliwa. Nia ikiwa nini hasa? Na wewe unakubaliana na hilo?Inawezekana hayo ndio maelekezo ambayo ameambiwa na Club ayaseme iwapo akihojiwa swali hilo.
Hapo ktk bold nisaidie kujifunza ulichojifunza na kugundua, MkuuNia ni kuutafuta na kuukata mzizi wa fitna ndiyo maana hata watu wa Yanga waliochangia kwa staha tumeenda nao fresh bila kurushiana vile vijembe vyetu vya kila siku.
Hivi haijakushangaza kwa baadhi ya watu kwenye jukwaa hili ambao hapo kabla walionekana ni watetezi wakubwa wa maslahi ya Simba ila katika uzi huu wameonekana hawajaguswa kabisa na maamuzi mabovu na ya hovyo ya viongozi na wamegeuka watetezi wakubwa wa maamuzi hayo? Kuna kitu nimejifunza leo.
Kramo aliporudi December alisema yuko fresh na Mapinduzi pia alikwenda, mwisho wa siku yakasemwa haya haya "mwalimu ndiyo ataamua kama amtumie", au "madaktari wetu wanaendelea kumchunguza".
Kuna video moja Kramo aliporudi tu ile December akiwa tayari, mchambuzi Mbwaduke alimpa sana maua yake akasema jinsi gani atakuja kuisaidia Simba. Sasa unamuachaje mchezaji huyo katika list ya wachezaji wako huku ukijua una miezi 6 mbele ya mechi zingine ngumu zitakazomuhitaji? Walikuwa wanapoteza nini kwa kutolitoa jina lake CAF?
Na kibaya zaidi na ndiyo kilinishtua, ni kuona dalili kuwa mchezaji hajui kuwa jina lake liliondolewa kwa hiyo inaonyesha kuna maamuzi ya hila na yasiyo ya nia njema dhidi yake na klabu yalifanyika.
Nahisi kuna vitu ambavyo vitakuwa vinatofautiana kati ya sakata la Kahata na Kramo.Hapana Kahata kacheza kwa sheria hizi hizi za CAF zinazotumika hadi sasa. Angalia chini kabisa utaona hizo sheria zipo tokea 2019 hivyo Kahata na Chikwende wamesajuliwa na kuzikuta hizo sheria View attachment 2943755
Duh kwa hiyo klabu inamwambia mchezaji adanganye kuwa amesajiliwa huku hajasajiliwa. Nia ikiwa nini hasa? Na wewe unakubaliana na hilo?
Unajua baadae hili linaweza kutumika kumfitinisha na kuelekeza lawama na kumfukuzisha Benchikha kwa kisingizio hatumii wachezaji fulani au amesababisha kuachwa kwa wachezaji fulani kumbe hata hawajasajiliwa kwa maamuzi ya wengine na kibaya zaidi public ikafichwa au kudanganywa. Halafu tunarudi mitandaoni kushangaa kwa nini kila msimu Simba haimalizi na kocha.
Duchu alicheza mechi ngumu na Wydad na tunajua ni mchezaji ambaye ana uhalali wa kucheza katika mashindano haya, kwa hiyo akisema hivyo haiwezi kushangaza mtu. Unamlinganisha na mchezaji ambaye FACTS zako zinasema amefutiwa usajili. Umepigaje hapo?Mwenye mamlaka ya kuamua nani acheze na nani asicheze ni Kocha au mchezaji?
Kuna interview pia ambayo Duchu amesema yupo fiti kuikabili Al Ahly.
Kwa hiyo wewe binafsi unategemea kumuona Duchu kwenye hiyo mechi kwasababu tu amesema?
Asipocheza tafsiri yake ni kwamba kutakuwa na fitna?
Unapaswa kujua mechi na Wydad mpaka Duchu anaingia timu ilikuwa katika wakati gani.Duchu alicheza mechi ngumu na Wydad na tunajua ni mchezaji ambaye ana uhalali wa kucheza katika mashindano haya, kwa hiyo akisema hivyo haiwezi kushangaza mtu. Unamlinganisha na mchezaji ambaye FACTS zako zinasema amefutiwa usajili. Umepigaje hapo?
1. Huenda kahata alipewa kibali kishkaji Maana alikua anaenda kucheza caf ambako sheria zinaruhusu, Yanga inaweza kua ilikosa hiyo fursa Kwa kuwa kipindi hicho Kwa kuwa hawakua vizuri na tffNahisi kuna vitu ambavyo vitakuwa vinatofautiana kati ya sakata la Kahata na Kramo.
Kwasababu kama sheria zinasema mchezaji lazima awe na kibali cha shirikisho, ikiwezekana vipi Kahata kucheza mechi za CAF ikiwa hana kibali cha TFF?
Na kwanini Yanga ilishindwa kutumia mfumo huo kwenye ile ishu ya Kambole na Kisinda?
Unakumbuka TFF walitoa press release kuwa Yanga imefanikiwa kumuuza Kambole kwenye timu ya Uganda na watu wote tukaamini hivyo, lakini baadaye ikaja kujulikana kuwa Kambole alikuwa amefichwa Kigamboni?
Sasa swali linalo spin kichwani, ni kwanini Yanga haikutumia option hiyo ya kuwa na Kambole na Kisinda at the same time?
Sawa MkuuHahah, inafikirisha sana. Mwenye macho haambiwi tazama.
Subiri ndani ya masaa 24 utaona mengi zaidi.
Wenzako wameandamana huko Dar kumpinga na kumkataa kaduguda kwa kusema hivyo. Watakushtaki kwa mods humu JF kwa kuwasema hivyo wachezaji wenu.Barbakar
Saidoo
Fredi
Luis
Kamati ya Usajiri wa Simba iwaondoe dilisha kubwa.
Ni wachezaji wastaafu kwa sasa.
Aikili inataka kucheza mwili unakataa.
Hao Tandika wako wengi tu wa kucheza Bonanza.
Chasambi anawazidi mala elfu
Ukaamua kususa sio?ππππππBinafsi niliacha kuzifuatilia hizi timu.
Nilifanya kazi simba NIKAKUTANA NA UOZO KILA KONA.
Simba na yanga ni virusi vya maendeleo ya mpira wa Tanzania.
Kirusi kikubwa pale Simba ni Mohamed Dewji MO pamoja na rafiki yake Abdala Muhene (try again) wanasimba wasipofanya kuwafukuza hawa watu! Simba itakuwa mtibwa sugar very soonHahahahaha ..huo ugomvi wake si wa nchi hii..Jaribu ndio kirusi pale Simba..yeye ndio kawapoteza mawakala wakubwa walioanza kufanya kazi na simba toka enzi za Babra na Hans pope..
Nakubaliana na wewe kuwa huwenda kuna fraud ilifanya1. Huenda kahata alipewa kibali kishkaji Maana alikua anaenda kucheza caf ambako sheria zinaruhusu, Yanga inaweza kua ilikosa hiyo fursa Kwa kuwa kipindi hicho Kwa kuwa hawakua vizuri na tff
2. Ilikua ni dirisha kubwa hivyo TK hakua na kibali chochote, hivyo ni lazma aende tff, kahata ilikua dirisha dogo hivyo kwenye usajili wa awali Jina lake lilikua lishapelekwa caf, hivyo Kuna uwezekano alicheza Kwa kutumia kibali alichopewa kwenye dirisha kubwa
Wanawafukuzaje sasa hao ..maana Mo kapitishwa na mkutano mkuu km mwekezaji na iko ktk katiba yao ..Muhene ni msaidizi wa Mo...Kirusi kikubwa pale Simba ni Mohamed Dewji MO pamoja na rafiki yake Abdala Muhene (try again) wanasimba wasipofanya kuwafukuza hawa watu! Simba itakuwa mtibwa sugar very soon
Luis hapana ni vile hapewi nafasi hata kidogo unategemea atarejesha kiwango chake vipi??Barbakar
Saidoo
Fredi
Luis
Kamati ya Usajiri wa Simba iwaondoe dilisha kubwa.
Ni wachezaji wastaafu kwa sasa.
Aikili inataka kucheza mwili unakataa.
Hao Tandika wako wengi tu wa kucheza Bonanza.
Chasambi anawazidi mala elfu
Unakumbuka nilikwambia subiri masaa 24 kuna vitu utaona? Ukifuatilia toka nimepandisha uzi huu, sidhani kama unamuona tena Kramo wanamuonyesha onyesha tena mazoezini kama mwanzo, hii ni kuthibitisha kuna ulaghai na udanganyifu tulikuwa tunafanyiwa hapo mwanzo. Jana pia alionekana airport akiambatana na Yao Yao kumpokea Pakome kwa maana hiyo hata kambini inaonyesha hayupo.Sawa Mkuu
Hahahahaha..mkuu mimi toka mumdhulumu yule agent ,rafiki yangu hela yake sina hamu na hiyo timu yenu ...huyu Kramo anapata timu hapa hapa bongoUnakumbuka nilikwambia subiri masaa 24 kuna vitu utaona? Ukifuatilia toka nimepandisha uzi huu, sidhani kama unamuona tena Kramo wanamuonyesha onyesha tena mazoezini kama mwanzo, hii ni kuthibitisha kuna ulaghai na udanganyifu tulikuwa tunafanyiwa hapo mwanzo. Jana pia alionekana airport akiambatana na Yao Yao kumpokea Pakome kwa maana hiyo hata kambini inaonyesha hayupo.