Tetesi: Kuna uwezekano John Heche akatimkia ACT Wazalendo

Hawa vibwengo hata aibu hawana kila mtu akilala na njaa akiota ndoto anaigeuza kuwa habari.
hebu muulize huyo muungwana kamanda ndugu yako kwamba,

Hayati E.G.Lowasa na Babu Duni Haji alivyohamia chadema na wakawa viongizi wa kamati kuu, Uchaguzi chadema ulikua bado au tayari?🀣
 
Kwenye ile ya EL kujIengua CCM, umenikumbusha mbali!, ni akina sisi tulimshinikiza Elections 2015 - Kukatwa kwa Lowassa, ni mwisho wa ile safari, au ni mwanzo wa Safari Halisi ya Matumaini? ila pia wengine tulijua kabla Elections 2015 - Licha ya kukubalika, Jina la Lowassa halitafika hata CC! na baada ya mwamba kuteuliwa, tukashauri Elections 2015 - Ushauri wa Bure Kwa Lowassa: Kwa Vile ni Magufuli, Kubali Matokeo, Vunja Kambi, Jisalimishe! tukawaandaa watu kisaikolojia Elections 2015 - Edward Lowassa sio lazima yeye tu ndiye awe Rais wetu 2015, Rais wetu wa 2015 ni..., Wito Kwa Watanzania:Tuitumie Nguvu ya Kauli, Kumuingiza Ikulu Kiongozi Tunayemtaka!. Mdomo Huumba!. tukamhakikishia ushindi Kama kipimo cha ushindi ni idadi ya watu, Lowassa ndiye rais wetu tukamuombea kura na kweli akashinda Lowassa: Nilishinda urais lakini CCM wakaupora ushindi wangu na dunia nzima inajua tukalalamika Elections 2015 - Kama Hii ni Kweli, Then, Serikali Yetu ni Serikali Dhalimu?, Haramu?. Hukumu ya Karma ii Juu Yake! mwisho tukashauri tukubali matokeo ENL, CHADEMA na UKAWA, Tuyakubali Matokeo!, Tushukuru Kwa Yote!, Life Goes On!.
naunga mkono hoja.
P
 
Baada ya tetes za tundu lissu kubuma imekuja kwa john heche?
ni muhimu sana ukazihifadhi vizur hizo tetesi ili wakati muafaka ikitimia iwe rahisi kuthibisha na kujiridhisha, sawa?πŸ’
 
ni muhimu sana ukazihifadhi vizur hizo tetesi ili wakati muafaka ikitimia iwe rahisi kuthibisha na kujiridhisha, sawa?πŸ’
Si tetesi zote zinatimia kuwa kweli, mambonya siasa uwongo mwingi. Hili nalo litapita tu hamna jipya
 
Ndiyo ungetoa jibu la uhalisia na sio la kufikirika.
umuhimu moja wapo wa hoja yangu ni kukuandaa ili upokee dynamics hiyo ya kisiasa bila taharuki,

ni muhimu sana kuwa mustahimilivu na mwenye subra na kwa wakati muafaka, hakuna cha kusubiri na itakua.zingatia maelezo kwenye hoja ya msingi πŸ’
 
Si tetesi zote zinatimia kuwa kweli, mambonya siasa uwongo mwingi. Hili nalo litapita tu hamna jipya
uko sahihi,
ikiwa hakuna muafaka baina ya pande husuka mathalani kwenye tetesi hiyo mezani, basi kilichokusudiwa ambacho kwa sasa ni tetesi kinaweza kisitokee,

but kwa hizo ambazo nimexiweka mezani kwa nyakati tofauti tofauti, ni muhimu zaidi zikazingatiwa, maana ni muhimu na ni jambo la maana sana πŸ’
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…