Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sasa unakenua na kubababika na nini ikiwa hujaelewa chochote na sieleweki kwako gentleman?🤣🤣🤣🤣
Yaani katika watu ambao huwa haueleweki na unaonekana kuwa na wenge la kisiasa ni wewe.
Andika habari yako kwa uzito mbona habari za kumsifiq SSH huwa unaandika kama ukurasa wa gazeti?
🤣🤣🤣umuhimu moja wapo wa hoja yangu ni kukuandaa ili upokee dynamics hiyo ya kisiasa bila taharuki,
ni muhimu sana kuwa mustahimilivu na mwenye subra na kwa wakati muafaka, hakuna cha kusubiri na itakua.zingatia maelezo kwenye hoja ya msingi 🐒
binafsi nafanya mambo ya kizalendo kwa tafiti kwa mustakabali wa wa siasa na Maendeleo ya waTanzania wote 🐒Wewe ni mjuaji sana!! Huogopi kuzoeazoea wanaume wa Bara?
Kila kitu ni wewe tu!! Au ni baada ya kuona mwenzako Luka anadandia pipa Kwa uchawa?
unaona mbali sana gentleman,Kiukweli vyama vyote vya upinzani ni kama havieleweki na wapinzani wengi wahapoteza umaarufu na imani kwa wananchi hivyo hata mtu akihamia chama chochote bado hawezi kurudisha imani kwa wananchi ukifuatilia kwa sasa hivi wananchi wana imani kubwa na mtu mmoja mmoja haijalishi yupo upinzani, ccm au hana chama mfano ni Makonda na Mwabukusi.
Hili jamaa tlaa linajiharishia hovyo! kha Heche ni wa kuchanganywa na uchafu!?? Tumuulize Nyaronyo kicheere eti mkurya mzima akajiunge wapi!? Hata uanaume utaishia aroooo!kama mazungumzo na makubaliano yao yatamalizika vizuri kama yalivyo anza, na wakaafikiana vyema, basi ni wazi mungwana anakwenda kuchukua nafasi muhimu sana ya uongozi wa juu kitaifa ndani ya ACT WAZALENDO...
demokrasia ndani ya vyama vya siasa inashamiri na kusitawi vyema, na kwakweli inazidi kuimarika zaidi nchini 🐒
Mungu Ibariki Tanzania
relax basi kamanda mihememko ya nini sasa?Hili jamaa tlaa linajiharishia hovyo! kha Heche ni wa kuchanganywa na uchafu!?? Tumuulize Nyaronyo kicheere eti mkurya mzima akajiunge wapi!? Hata uanaume utaishia aroooo!
Aksante kwa taarifa kula kula burekama mazungumzo na makubaliano yao yatamalizika vizuri kama yalivyo anza, na wakaafikiana vyema, basi ni wazi mungwana anakwenda kuchukua nafasi muhimu sana ya uongozi wa juu kitaifa ndani ya ACT WAZALENDO...
demokrasia ndani ya vyama vya siasa inashamiri na kusitawi vyema, na kwakweli inazidi kuimarika zaidi nchini 🐒
Mungu Ibariki Tanzania
Mbona tena hupigii chapuo chama chako cha watekaji!?relax basi kamanda mihememko ya nini sasa?
hakuna lisilowezekana kwenye siasa za vyama vingi hasa ukiwa na uelewa na ufahamu wa kutosha wa masuala ya uhuru, haki na demokrasia 🐒
Za kwako sio tetesi ni uzushi kwani huwa hazitimii.kama mazungumzo na makubaliano yao yatamalizika vizuri kama yalivyo anza, na wakaafikiana vyema, basi ni wazi mungwana anakwenda kuchukua nafasi muhimu sana ya uongozi wa juu kitaifa ndani ya ACT WAZALENDO...
demokrasia ndani ya vyama vya siasa inashamiri na kusitawi vyema, na kwakweli inazidi kuimarika zaidi nchini 🐒
Mungu Ibariki Tanzania
Siku hizi hakuna cha makabila magumu wala nini, kwenye pesa kabila gumu hugeuka kuwa laini kuliko pamba. Rejea Waitara.Naunga mkono hoja mtu yeyote kuwa huru kuhamia chama chochote ndio maana tulitoa ushauri huu kwa Chadema Wanaohamia CCM wasibezwe! Wanaona mbali, 2020 Majimbo yote kurejeshwa. Je, tunarejea nchi ya chama kimoja? ila tukubali tukatae wanachama na viongozi hawafanani, kuna wengine ni nguzo na mtaji, hivyo wanategemewa sana, huku wengine ni magarasa tuu.
Magarasa wakihama, hakuna athari zozote lakini nguzo zikihama, zina athari kubwa.
Heche ni nguzo!, kwangu mimi huyu ndiye mtu wa kumpokea Mbowe Uenyekiti, hivyo taarifa za uzushi kama hizi, zinatishitusha!, haswa kwa kuzingatia John Heche ni kutoka kabila la watu wenye msimamo.
Tanzania tuna makabila mengi, kuna makabila walaini laini unawaswaga tuu kama ng'ombe na kuna makabila wagumu wenye misimamo.
Ukisikia mtu wa makabila laini laini amehama hushangai, ila Ukisikia mtu wa kabila gumu amehama chama, lazima ushangae.
John Heche namuaminia, mimi ni Tomaso hii habari siiamini kuwa ni ya kweli mpaka...
P
🤣 Sasa hivi🌈 naona umejua ili post zake zipate wachangiaji wengi ni kuitaja cdm.kama mazungumzo na makubaliano yao yatamalizika vizuri kama yalivyo anza, na wakaafikiana vyema, basi ni wazi mungwana anakwenda kuchukua nafasi muhimu sana ya uongozi wa juu kitaifa ndani ya ACT WAZALENDO...
demokrasia ndani ya vyama vya siasa inashamiri na kusitawi vyema, na kwakweli inazidi kuimarika zaidi nchini 🐒
Mungu Ibariki Tanzania