Tetesi: Kuna uwezekano John Heche akatimkia ACT Wazalendo

Unanisikitisha sana na ninakuona kichwani we ni mwepesi au unatumika kuwafurahisha watu fulani hauko huru kimawazo
bilashaka yoyote,
ulie huru umefikia kiwango chako cha mwisho cha mawazo mapya na fikra mbadala, right?🤣
 
nadhani hongo ya fedha na ngono imekithiri zaidi upinzani hususani chadema, nadhani makamu mwenyekiti wao alithibitis hili hili majuzi 🐒
Ccm ilikua ile ya Nyerere sio ya sasa ambayo watu wamejilundika tu ,ukiuliza history ya chama hawajui, katiba ya chama hawajui , wao chochote ni kushangilia tu
 
kama mazungumzo na makubaliano yao yatamalizika vizuri kama yalivyo anza, na wakaafikiana vyema, basi ni wazi mungwana anakwenda kuchukua nafasi muhimu sana ya uongozi wa juu kitaifa ndani ya ACT WAZALENDO...

demokrasia ndani ya vyama vya siasa inashamiri na kusitawi vyema, na kwakweli inazidi kuimarika zaidi nchini 🐒

Mungu Ibariki Tanzania
Unataka vibrant opposition wakati kichwani numejaza usaha??????????????
 
Ccm ilikua ile ya Nyerere sio ya sasa ambayo watu wamejilundika tu ,ukiuliza history ya chama hawajui, katiba ya chama hawajui , wao chochote ni kushangilia tu
Nadhani ile muhimu na ya maana sana ni Umoja, Amani na utulivu kwa waTanzania...

Lakini ya maana zaidi ni mahitaji ya lazima kwa wananchi yanapatikana kwa uhakika na vya kutosha mathalani maji, afya, umeme, usafirishaji, elimu, kilimo na mambo mengineyo ambayo yanachochea maendeleo ya wananchi na waTanzania wote...

hayo mengineyo utajifunza shuleni inatosha na si muhimu sana 🐒
 
Sasa uliyoyataja yote kipi kimetengemaa chini ya ccm, ukianzia ,maji,afya ,umeme?
 
Wewe Jamaa na ramli zako za uongo 😆
hifadhi vyema Ukweli huo ili ije kua rahisi kujiridhisha na kuthibitisha tetesi hii ambayo ni muhimu zaidi kwa mustakabali wa Demokrasia ya vyama vingi nchini 🐒
 
Sasa uliyoyataja yote kipi kimetengemaa chini ya ccm, ukianzia ,maji,afya ,umeme?
Yote yapo na kwakweli wananchi wa Tanzania wanayafurahia sana licha ya dosari na kasoro kidogo za hapa na pale, lakini hali ya ulinzi na usalama ni imara zaidi na huduma za kijamii zinatolewa vyema sana chini ya Dr.Samia Suluhu Hassan kipenzi cha waTanzania 🐒
 
Naunga mkono hoja mtu yeyote kuwa huru kuhamia chama chochote ndio maana tulitoa ushauri huu kwa Chadema Wanaohamia CCM wasibezwe! Wanaona mbali, 2020 Majimbo yote kurejeshwa. Je, tunarejea nchi ya chama kimoja? ila tukubali tukatae wanachama na viongozi hawafanani, kuna wengine ni nguzo na mtaji, hivyo wanategemewa sana, huku wengine ni magarasa tuu.

Magarasa wakihama, hakuna athari zozote lakini nguzo zikihama, zina athari kubwa.

Heche ni nguzo!, kwangu mimi huyu ndiye mtu wa kumpokea Mbowe Uenyekiti, hivyo taarifa za uzushi kama hizi, zinatishitusha!, haswa kwa kuzingatia John Heche ni kutoka kabila la watu wenye msimamo.

Tanzania tuna makabila mengi, kuna makabila walaini laini unawaswaga tuu kama ng'ombe na kuna makabila wagumu wenye misimamo.

Ukisikia mtu wa makabila laini laini amehama hushangai, ila Ukisikia mtu wa kabila gumu amehama chama, lazima ushangae.

John Heche namuaminia, mimi ni Tomaso hii habari siiamini kuwa ni ya kweli mpaka...
P
John Heche ni mmoja ya watu tunaowategemea kushika nafasi ya juu katika Chadema kama siyo Mwenyekiti basi Katibu Mkuu, ni mojawapo ya nguzo katika Chadema. Heche kuhamia ACT ni sawa na mchezaji wa Simba kuhamia Namungo, ni jambo gumu japo linawezekana.
 
kama mazungumzo na makubaliano yao yatamalizika vizuri kama yalivyo anza, na wakaafikiana vyema, basi ni wazi mungwana anakwenda kuchukua nafasi muhimu sana ya uongozi wa juu kitaifa ndani ya ACT WAZALENDO...

demokrasia ndani ya vyama vya siasa inashamiri na kusitawi vyema, na kwakweli inazidi kuimarika zaidi nchini 🐒

Mungu Ibariki Tanzania
Unamjua vizuri Heche ??
 
hifadhi vyema Ukweli huo ili ije kua rahisi kujiridhisha na kuthibitisha tetesi hii ambayo ni muhimu zaidi kwa mustakabali wa Demokrasia ya vyama vingi nchini 🐒
Ulianza kwa kusema Katibu Mkuu Mnyika mara ukasema ni M/Mwenyekiti sasa umekuja na Heche😆😆😆
 
hifadhi vyema hizo tetesi ili wakati muafaka uje kua wa kwanza kuthibitisha na kujiridhisha gentleman,

by the way this is politics 🐒
 
kama mazungumzo na makubaliano yao yatamalizika vizuri kama yalivyo anza, na wakaafikiana vyema, basi ni wazi mungwana anakwenda kuchukua nafasi muhimu sana ya uongozi wa juu kitaifa ndani ya ACT WAZALENDO...

demokrasia ndani ya vyama vya siasa inashamiri na kusitawi vyema, na kwakweli inazidi kuimarika zaidi nchini 🐒

Mungu Ibariki Tanzania
Kwani wewe ni msemaji wa wanachadema?Tena kwenye tetesi pekeee?Ama ni chawa wakujitolea kwao?
 
gentleman,
mbona nasema humu jukwaani kwamba mimi ni mwanadiplomasia mwandamizi mbobevu katika siasa za vyama, Demokrasia, siasa, dini, maisha n.k?

huo ushirikina unautoa wapi wewe 🤣
 
Kutoka kwenye ramli zako chonganishi za sii hasaaa za vyama.
 
Yote yapo na kwakweli wananchi wa Tanzania wanayafurahia sana licha ya dosari na kasoro kidogo za hapa na pale, lakini hali ya ulinzi na usalama ni imara zaidi na huduma za kijamii zinatolewa vyema sana chini ya Dr.Samia Suluhu Hassan kipenzi cha waTanzania 🐒
Kutetea ccm ni kazi ngum kuliko kulima kibarua
 
Back
Top Bottom