Tetesi: Kuna uwezekano John Heche akatimkia ACT Wazalendo

kama mazungumzo na makubaliano yao yatamalizika vizuri kama yalivyo anza, na wakaafikiana vyema, basi ni wazi mungwana anakwenda kuchukua nafasi muhimu sana ya uongozi wa juu kitaifa ndani ya ACT WAZALENDO...

demokrasia ndani ya vyama vya siasa inashamiri na kusitawi vyema, na kwakweli inazidi kuimarika zaidi nchini 🐒

Mungu Ibariki Tanzania
Muone shetani huyu anavyoweweseka!
 
Kumbe ni tetesi, basi sawa
 
these are living political theories and narratives. kumbuka, political dynamics is unavoidable...

Nashauri kuzihifadhi vyema theory hizi kama reference kwaajili ya kujiridhisha wakati muafaka ukifika 🐒
Yes you are always Right Gentleman 🙌👍
 
Back
Top Bottom