Tetesi: Kuna uwezekano John Heche akatimkia ACT Wazalendo

Unanisikitisha sana na ninakuona kichwani we ni mwepesi au unatumika kuwafurahisha watu fulani hauko huru kimawazo
bilashaka yoyote,
ulie huru umefikia kiwango chako cha mwisho cha mawazo mapya na fikra mbadala, right?🀣
 
nadhani hongo ya fedha na ngono imekithiri zaidi upinzani hususani chadema, nadhani makamu mwenyekiti wao alithibitis hili hili majuzi πŸ’
Ccm ilikua ile ya Nyerere sio ya sasa ambayo watu wamejilundika tu ,ukiuliza history ya chama hawajui, katiba ya chama hawajui , wao chochote ni kushangilia tu
 
Unataka vibrant opposition wakati kichwani numejaza usaha??????????????
 
Ccm ilikua ile ya Nyerere sio ya sasa ambayo watu wamejilundika tu ,ukiuliza history ya chama hawajui, katiba ya chama hawajui , wao chochote ni kushangilia tu
Nadhani ile muhimu na ya maana sana ni Umoja, Amani na utulivu kwa waTanzania...

Lakini ya maana zaidi ni mahitaji ya lazima kwa wananchi yanapatikana kwa uhakika na vya kutosha mathalani maji, afya, umeme, usafirishaji, elimu, kilimo na mambo mengineyo ambayo yanachochea maendeleo ya wananchi na waTanzania wote...

hayo mengineyo utajifunza shuleni inatosha na si muhimu sana πŸ’
 
Sasa uliyoyataja yote kipi kimetengemaa chini ya ccm, ukianzia ,maji,afya ,umeme?
 
Wewe Jamaa na ramli zako za uongo πŸ˜†
hifadhi vyema Ukweli huo ili ije kua rahisi kujiridhisha na kuthibitisha tetesi hii ambayo ni muhimu zaidi kwa mustakabali wa Demokrasia ya vyama vingi nchini πŸ’
 
Sasa uliyoyataja yote kipi kimetengemaa chini ya ccm, ukianzia ,maji,afya ,umeme?
Yote yapo na kwakweli wananchi wa Tanzania wanayafurahia sana licha ya dosari na kasoro kidogo za hapa na pale, lakini hali ya ulinzi na usalama ni imara zaidi na huduma za kijamii zinatolewa vyema sana chini ya Dr.Samia Suluhu Hassan kipenzi cha waTanzania πŸ’
 
John Heche ni mmoja ya watu tunaowategemea kushika nafasi ya juu katika Chadema kama siyo Mwenyekiti basi Katibu Mkuu, ni mojawapo ya nguzo katika Chadema. Heche kuhamia ACT ni sawa na mchezaji wa Simba kuhamia Namungo, ni jambo gumu japo linawezekana.
 
Unamjua vizuri Heche ??
 
hifadhi vyema Ukweli huo ili ije kua rahisi kujiridhisha na kuthibitisha tetesi hii ambayo ni muhimu zaidi kwa mustakabali wa Demokrasia ya vyama vingi nchini πŸ’
Ulianza kwa kusema Katibu Mkuu Mnyika mara ukasema ni M/Mwenyekiti sasa umekuja na HecheπŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
 
Ulianza kwa kusema Katibu Mkuu Mnyika mara ukasema ni M/Mwenyekiti sasa umekuja na HecheπŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
hifadhi vyema hizo tetesi ili wakati muafaka uje kua wa kwanza kuthibitisha na kujiridhisha gentleman,

by the way this is politics πŸ’
 
Kwani wewe ni msemaji wa wanachadema?Tena kwenye tetesi pekeee?Ama ni chawa wakujitolea kwao?
 
Kwani wewe ni msemaji wa wanachadema?Tena kwenye tetesi pekeee?Ama ni chawa wakujitolea kwao?
gentleman,
mbona nasema humu jukwaani kwamba mimi ni mwanadiplomasia mwandamizi mbobevu katika siasa za vyama, Demokrasia, siasa, dini, maisha n.k?

huo ushirikina unautoa wapi wewe 🀣
 
gentleman,
mbona nasema humu jukwaani kwamba mimi ni mwanadiplomasia mwandamizi mbobevu katika siasa za vyama, Demokrasia, siasa, dini, maisha n.k?

huo ushirikina unautoa wapi wewe 🀣
Kutoka kwenye ramli zako chonganishi za sii hasaaa za vyama.
 
Kutetea ccm ni kazi ngum kuliko kulima kibarua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…