Mudawote
JF-Expert Member
- Jul 10, 2013
- 10,771
- 14,129
Big no no hapana kabisa, Dkt Magufuli hakuwahi kuwa fisadi na hakuwa na tamaa ya utajiri kabisa. Na ndiyo maana baada ya ile tume kuhusu ufisadi kwenye miradi ya barabara ikapendekezwa atafutwe mtu mwadilifu asimamie wizara ya ujenzi na hakuna mwingine Dkt Magufuli akateuliwa na ukiangalia barabara zilizojengwa enzi zake hazina shida sana na iliwezekana kuwa na mtandao wa barabara nchi nzima, na hili lilikuwa jambo na Mkapa. Kwa hiyo hizo ni propaganda tu za wahuni. Wakapita na uncle ben pia kupunguza kelele maana ben angekuwepo asingenyamaza..sio kwamba magufuli alikuwa fisadi na alianza kuwauwa wenzake ndani ya mfumo?