Kuna uwezekano Mkubwa Lissu na Magufuli waligombanishwa. Yawezekana Lissu alitumiwa pasi na kujua

Kuna uwezekano Mkubwa Lissu na Magufuli waligombanishwa. Yawezekana Lissu alitumiwa pasi na kujua

..sio kwamba magufuli alikuwa fisadi na alianza kuwauwa wenzake ndani ya mfumo?
Big no no hapana kabisa, Dkt Magufuli hakuwahi kuwa fisadi na hakuwa na tamaa ya utajiri kabisa. Na ndiyo maana baada ya ile tume kuhusu ufisadi kwenye miradi ya barabara ikapendekezwa atafutwe mtu mwadilifu asimamie wizara ya ujenzi na hakuna mwingine Dkt Magufuli akateuliwa na ukiangalia barabara zilizojengwa enzi zake hazina shida sana na iliwezekana kuwa na mtandao wa barabara nchi nzima, na hili lilikuwa jambo na Mkapa. Kwa hiyo hizo ni propaganda tu za wahuni. Wakapita na uncle ben pia kupunguza kelele maana ben angekuwepo asingenyamaza
 
Hakuna vita ya kupiganishwa magufuli alikuwa mpuuzi tu

Kwa mtu smart anayekataa upuuzi lazima mtofautiane tu.

Angalia alivyoshughulikia covid kipuuzi

Angalia alivyoshughulikia makinikia kipumbavu kabisa
Bosi wewe ndiye lijinga sana na huna akili. Yaani unasema covid alishughulikia kipumbavu una akili kweli? Yaani dunia nzima inasema covid ilikuwa hoax, yaani masharti ya kufungia watu yalikuwa ya kijinga. Waziri mkuu Uingereza mpaka aliwajibishwa kisa covid. Kuhusu makinikia hujui wajanja wali hijack zoezi. Yaani wewe ni moja ya watu wajinga na was ng sana ambao mmekaririshwa kumchukia Dkt Magufuli bila sababu.
 
Ndio unajua leo? Amesoma ila bado ni bwege na ataendelea kuwa bwege maslahi kwanza mengine yatafata
 
Bosi wewe ndiye lijinga sana na huna akili. Yaani unasema covid alishughulikia kipumbavu una akili kweli? Yaani dunia nzima inasema covid ilikuwa hoax, yaani masharti ya kufungia watu yalikuwa ya kijinga. Waziri mkuu Uingereza mpaka aliwajibishwa kisa covid. Kuhusu makinikia hujui wajanja wali hijack zoezi. Yaani wewe ni moja ya watu wajinga na was ng sana ambao mmekaririshwa kumchukia Dkt Magufuli bila sababu.
Dogo covid was real watu weak waliondoka, including
magufuli pamoja na wasaidizi wake waliondoka

Kamuulize mpango alyeponea chupuchupu

Kuhusu makinikia magu na kabudi walifanya usanii tu hakuna manufaa tuliyoyapata

Walizuia mchanga mwishowe umeachiwa bure

Dogo kuwa na Heshima kwa kaka yako ninajua vitu vingi ambavyo hujui
 
Pole sana kwa kukariri uongo. Iko Hivi, mpango wa poisoned, na hao hao waliompa sumu wakampa apone, kijazi executed, na ukitaka kuona ushahidi wa mazingira nani mwingine alikufa? Hebu tafuta kuna uzi upo humu umeweka wazi kila kitu. Kingine jiulize nani alikufa baada ya wakubwa ikulu kufa. Hivi unajua walinzi wa rais Dkt Magufuli hakuna hata mmoja aliyekufa. Akili kichwani hiyo misheni tumeshaiongelea sana hapa jukwaani.
 
Huna ushaidi dogo
Ndo maana nasema magufuli alikuwa mpuuzi tu alijijengea maadui wengi kwa sababu ya upuuzi wake
 
Huna ushaidi dogo
Ndo maana nasema magufuli alikuwa mpuuzi tu alijijengea maadui wengi kwa sababu ya upuuzi wake
Kundi lako ni la wale walioshiriki kumuua ndiyo maana unaujua ukweli wake na mnafurahia kueneza propaganda zenu. Ila uzuri kila mtanzania anawajua na mnajulikana. Mungu atawalipa
 
Lissu alimwambia magu aka kichwa Cha Nazi . Tunaibiwa kwenye mikataba ya madini, ndege zinakuja zinabebeba 70% ya dhahabu zinasepa

Makinikia ni 30% ya dhahabu iliyobaki na madini mengine kwa uchache

Yeye akakomaa na makinikia

Tulikuwa na raisi mjinga sana
 
Kundi lako ni la wale walioshiriki kumuua ndiyo maana unaujua ukweli wake na mnafurahia kueneza propaganda zenu. Ila uzuri kila mtanzania anawajua na mnajulikana. Mungu atawalipa
Lakini na yeye alimuua Ben saa name kwa mkono wake,
kabendera ametunyetisha

Au yeye alkuwa na hakii ya kuua, Lakini wenzie hawakuwa na haki ya kumuua?
 
Lakini na yeye alimuua Ben saa name kwa mkono wake,
kabendera ametunyetisha

Au yeye alkuwa na hakii ya kuua, Lakini wenzie hawakuwa na haki ya kumuua?
Ben aliuawa na mbowe na mazingira ya ushahidi yapo na kuna uzi, nenda usome. Hata lisu alinusurika kuuawa na mbowe na ndiyo maana lisu mpaka kafikia hatua ya kusema anahofia usalama wake na hana imani na kula chakula kwa mbowe. Yaani mbowe ndiye muuaji wa ben saa nane.
 
Kipindi hicho lissu alikuwa very radical na wazungu alialikwa amuongelee lumumba wa kongo, lakini alivyoingia jpm akaungana na wazungu duuh!!! Nikasema siasa ni siasa
Mkuu wewe upo makini sana inaonesha umeanza mfuatilia Lisu kitambo, wengi wamekuja kumfahamu alipojiunga na chadema. Kile kipindi mwamba Lisu alikuwa akichambua mikataba ya madini jinsi tunavyoibiwa kwa kupata asilimia 4 huku wenzetu Ghana wakilamba asilimia 30 nikawa najiuliza hivi huyu kwa nini asijiunge na siasa akawa mbunge? Baada ya kuja kuanza kumpibga JPM kwa yale mambo aliyokuwa akiyapigia kelele hapo kwa kweli nilimshangaa sana Lisu nikajiuliza kimempata nini huyu? Nilirudi mara 2x2 u-tube kutizama yale mahojiano yake na Angelo Moleka wa Star TV ili kujihakikishia kama ni yeye.
 
lisu anajuta sana why alimtukana jpm saivi anatamani kurud CCM ila wakina ngosha hawawezzi kumuelewa.

atapiga tarumbetaa weee dakika zanjionii
ataishia Act wazalendo then atafunga mdomo
JPM alikuwa Lofa tu yule
 
Happy New year Wakuu!

Bado sina uhakika lakini uelekeo ni kuwa yawezekana kabisa Lisu na Magufuli walijikuta kwenye vita kubwa ya kupiganishwa pasipo ya wao kujua.

Wasiwasi wangu unaenda mbali zaidi kuniambia, huenda Lisu kuna sehemu alizidiwa akili akatumiwa pasipo ya yeye mwenyewe kujua anatumika.

Mpaka uchaguzi Mkuu nitahitimisha na Kupata majawabu.

Je Lisu amegundua kuwa kuna watu walimtumia kwa Maslahi Yao badala ya kile alichoamini mwenyewe?

Jioni Njema
Hata messenger huvuna apandacho kwa lugha yake, matamshi, kebehi na uwasilishaji wake. How you present the message as a messenger matters a lot
 
Happy New year Wakuu!

Bado sina uhakika lakini uelekeo ni kuwa yawezekana kabisa Lisu na Magufuli walijikuta kwenye vita kubwa ya kupiganishwa pasipo ya wao kujua.

Wasiwasi wangu unaenda mbali zaidi kuniambia, huenda Lisu kuna sehemu alizidiwa akili akatumiwa pasipo ya yeye mwenyewe kujua anatumika.

Mpaka uchaguzi Mkuu nitahitimisha na Kupata majawabu.

Je Lisu amegundua kuwa kuna watu walimtumia kwa Maslahi Yao badala ya kile alichoamini mwenyewe?

Jioni Njema
Then there is a problem Kwa lissu

Intelijensia yake haikua sawa

Lakini TL ni mropokaji sana
 
lisu anajuta sana why alimtukana jpm saivi anatamani kurud CCM ila wakina ngosha hawawezzi kumuelewa.

atapiga tarumbetaa weee dakika zanjionii
ataishia Act wazalendo then atafunga mdomo
Hajawahi kutamka anajuta. For the record hawajahi kumtukana bali ku expose baadhi ya mambo . Jpm hakuwa mtakatifu, alikuwa na madudu yake
 
Back
Top Bottom