- Thread starter
- #21
Anakutana na Vice President Kamala Harris Ijumaa na siyo President of USA Biden, yeye siyo wa kwanza hata raisi wa Gambia alikuwa hapo pia!
Kiswahili kigumu mjomba?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anakutana na Vice President Kamala Harris Ijumaa na siyo President of USA Biden, yeye siyo wa kwanza hata raisi wa Gambia alikuwa hapo pia!
Akitoka huko aende Russia then Ukrain ili kuonyesha kuwa tuko neutral kikwelikweli
Huu uzi ni wa Pro USA kuwa neutral ni jambo la busara kuliko vyote. Tuendelee kubaki na msimamo wetu shida mmezoea vya kupewa pewa vyenye masharti lini tutajitegemea ??
Tutaendelea kuwa waoga na kuomba misaada mpaka lini?
... sasa mbona unawalaumu pro-US wa JF kana kwamba ndio wako ziarani Marekani?Huu uzi ni wa Pro USA kuwa neutral ni jambo la busara kuliko vyote. Tuendelee kubaki na msimamo wetu shida mmezoea vya kupewa pewa vyenye masharti lini tutajitegemea ??
Tutaendelea kuwa waoga na kuomba misaada mpaka lini?
... sasa mbona unawalaumu pro-US wa JF kana kwamba ndio wako ziarani Marekani?
Mashoga na wasagaji wamekufanya nini?
Amandla...
Hivi inawezekana raisi wa Marekani akaja Bongo halafu Samia akawa bize na miradi mingine akamwachia Majaliwa kuonana nae?Anakutana na Vice President Kamala Harris Ijumaa na siyo President of USA Biden, yeye siyo wa kwanza hata raisi wa Gambia alikuwa hapo pia!
Ungekuwa wewe Rais ungefanyaje kwa mfano. Tueleze ungefanyaje. Hapa sio issue ya kuomba omba wala nini wala kijitegea ni diplomasia ambayo nadhani wengi hatujui tuwaachie viongozi wetu wakatende wanaipenda nchi yetu.
Dikteta aliharibu mentality za vijana wengi, wamekuwa mazuzu kabisa......
Ndo hvyoMkuu hata kenya wapinzani walikomalia misaada ya mabeberu ndo ikapatikana democracy
Magufuli anaingiaje kwenye hii thread? Huna hoja
Mbona Bloomberg wameweka wazi,hapo gas imeenda kutafutiwa hela
Alibadilishwa Sheria ya takwimu fasta ili apate msaada baada ya kuzuiwa
Wazungu wanataka kuachana na ya mrusi,Sasa ya tz inahitaji $40bHela ndiyo sabuni ya roho ..
Hivi inawezekana raisi wa Marekani akaja Bongo halafu Samia akawa bize na miradi mingine akamwachia Majaliwa kuonana nae?
Hivi inawezekana raisi wa Marekani akaja Bongo halafu Samia akawa bize na miradi mingine akamwachia Majaliwa kuonana nae?
Mashoga na wasagaji wamekufanya nini?
Amandla...
Mawazo duni kabisa.
Kwamba uhuru wa mashoga, kwani inakuhusu nini wewe kama si shoga?
Utawazuia wewe na viganja vyako watu wazima waliojichagulia yao?
Kwani pilipili usizozila zikuwashe je wewe, nini ndugu?