- Thread starter
- #41
Kama jamii haiwezekani wakubalike rasmi Kama wanavyopigania. Wanapigania kutambuliwa! Yaani dume liolewe na dume kwa ndoa hiyo kusajiliwa Serikalini!! Hicho ndicho tunakataa. Tunajua wapo lakini hawana kibali, ni waovu kupindukia, Mungu awarehemu waachane na uchafu huo!
Umewasikia wapi wakipigania kutambuliwa "rasmi" ili iweje? Kwani wewe ni mmoja wao?
Hii habari ya kuwa "kama wao wako vizuri wewe inakuhusu nini nayo hujawahi kuisikia?"
Kumbuka si kila mtu angependa kwenda unakokuita "mbinguni kwenu."
Wewe wajuaje kama wao labda wana mbinguni zao?
Swali la msingi, kwa nini matumizi ya watu na viungo vyao iwe tatizo kwako?