Kuna uwezekano mkubwa Rais Samia kuonana na wakuu wa Serikali ya Marekani akiwamo Rais Joe Biden


Umewasikia wapi wakipigania kutambuliwa "rasmi" ili iweje? Kwani wewe ni mmoja wao?

Hii habari ya kuwa "kama wao wako vizuri wewe inakuhusu nini nayo hujawahi kuisikia?"

Kumbuka si kila mtu angependa kwenda unakokuita "mbinguni kwenu."



Wewe wajuaje kama wao labda wana mbinguni zao?

Swali la msingi, kwa nini matumizi ya watu na viungo vyao iwe tatizo kwako?
 
Huu uzi ni wa Pro USA kuwa neutral ni jambo la busara kuliko vyote. Tuendelee kubaki na msimamo wetu shida mmezoea vya kupewa pewa vyenye masharti lini tutajitegemea ??

Tutaendelea kuwa waoga na kuomba misaada mpaka lini?
Mimi sitaki politics nachotaka ni kusikia Tanzania imerekeshwa kwenye MCC kwa hiyo Rais akomae na hili jambo.

Kuna pesa mingi Sana pale,Tulikuwa tunapata dola za Marekani mil.700
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…