Tetesi: Kuna uwezekano mkubwa wa LOCKDOWN nchi nzima. Kama hujajiandaa fanya sasa

Status
Not open for further replies.
Mkuu mshana nami naungana nanyi hatujachelewa tukipiga lock down angalau siku 14 inaweza saidia
 
Fala wewe, mnakuja kubana pua jukwaani kama mapunga, eti a week to goo..., nilikuwa napata hasira sana watu type ya akina Mange kimavi na wenzako mlivyotaka kutupanikisha kwa mambo ya kixhenxi kabisa!
 

Magu anakutafuta.
 
Kuna jirani yangu pamoja na familia yake walikwenda Ngorongoro na mlima Kilimanjaro kwa zaidi ya mwezi mzima tangu mwanzoni mwa Februaryu hadi katikati ya March. Ilikuwa ndiyo mara yao ya kwanza kufika Tanzania, na kweli walifurahi sana; sasa hivi wanapanga kuwa wanakwenda kila mwaka. Walisema kuwa safari yao yote tangu mwanzo mpaka mwisho, ni Tanzania tu walipopimwa joto uwanja wa ndege kabla ya kuruhusiwa kuingia nchini, na hiyo ni February. Baada ya likizo yao waliporudi, waliingia Marekani bila kupimwa lolote, yaani mwezi wa tatu kabla Trump hajafunga anga. Inawezeka zile hatua za awali za kuwapima wageni wote waliokuwa wanaingia Tanzania zilisaidia kwa kiasi fulani.

Hata hivyo serikali inatakiwa isiseme kuwa Tanzania hakuna korona kabisa, bali iendelee kuwahimiza wananchi kuchukua hatua za kujikinga na korona; yaani social distancing, matumizi ya barakoa kwenye hadhara ya watu wengi, na kunawa mikono mara kwa mara kwa kutumia sabuni. Hakuna haja ya lockdown.
 
Ulikuwa ni uzi wa tahadhari na katika hali kama ile haikuwa vibaya kukumbushana ya muhumu..waliozingatia walifanya na ni moja kati ya nyuzi zilizohamasisha watu kuchukua tahadhari
Tahadhari ya kwenda kukomba vitu madukani ili bei zipande na masikini wafe njaa? Hivi kwanini mnakuwa hivyo, huwa mnatumwa?
 
Hata hivyo serikali inatakiwa isiseme kuwa Tanzania hakuna korona kabisa, bali iendelee kuwahimiza wananchi kuchukua hatua za kujikinga na korona; yaani social distancing, matumizi ya barakoa kwenye hadhara ya watu wengi, na kunawa mikono mara kwa mara kwa kutumia sabuni. Hakuna haja ya lockdown[emoji1545][emoji1545][emoji1545]
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…