Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu mshana nami naungana nanyi hatujachelewa tukipiga lock down angalau siku 14 inaweza saidiaKwa hali inavyoendelea quarantine nchi nzima inakuja.. Inawezekana viongozi wamekubali ushauri na kijifunza toka kwa walioathirika kabla
Ni wazi muingiliano wa watu ndio kichokoo kikubwa cha kueneza virus wa corona.. Kusafiri, na kuhama sehemu moja kwenda nyingine.. Mizunguko ya siku nzima tunakutana na watu anuwai...
Toka kila sehemu.. Jioni tunarudi majumbani kwetu je tunakuwa tumesalimika kiasi gani?
Kukipambazuka tunaelekea makazini kwetu inawezekana kabisa wewe uko salama na umezingatia taratibu zote za kinga lakini je vipi jirani yako? Jana alipita wapi? Alikutana na nani? Je yuko salama? Je kazingatia tahadhari zote za kinga?
Muda unakimbia kwa kasi sana... Jiandae sasa, weka akiba ya chakula ndani, maji na kila chenye umuhimu... Tunaweza tusimalize wiki kabla hatujatangaziwa habari mbaya ya TOTAL LOCK DOWN... Hujachelewa anza sasa
Jr[emoji769]
Mungu kajibu maombi. Sifa zirudi kwake, Bado tunaendelea kuombaHakuna hicho kitu, as long tunapiga goti kuomba. Hakuna hicho kitu.
Fala wewe, mnakuja kubana pua jukwaani kama mapunga, eti a week to goo..., nilikuwa napata hasira sana watu type ya akina Mange kimavi na wenzako mlivyotaka kutupanikisha kwa mambo ya kixhenxi kabisa!We still have a week or two go
Stages za maambukizi (Epidemiological perspective)
Stage 0- 0 cases
Stage 1 -imported cases
Stage 2- local cases (cases appearing in some cities but not imported. You can still trace the source)
Stage 3 - Community spread (mnaambukizana wenyewe kwa wenyewe na huwezi ku-trace network yake.)
Jr[emoji769]
MUNGU ametendaHakika mungu yu pamoja nasi, lockdown itakua kwa wasioamini. Imani bila matendo imekufa, huenda hili ni jaribu tu,
Ni ujinga mtupu tu mkuu ndio ulio wajaa, na ilikuwa ukiwapinga kidogo wee hayo matusi yake ni hatari haya sasa waje hapa watupe utaalam wao.Huu uzi ulijaa’wataalamu’ na wanajimu wa kila aina.🤣
Ulikuwa ni uzi wa tahadhari na katika hali kama ile haikuwa vibaya kukumbushana ya muhumu..waliozingatia walifanya na ni moja kati ya nyuzi zilizohamasisha watu kuchukua tahadhariHuu uzi ulijaa’wataalamu’ na wanajimu wa kila aina.[emoji1787]
Kwa hali inavyoendelea quarantine nchi nzima inakuja.. Inawezekana viongozi wamekubali ushauri na kijifunza toka kwa walioathirika kabla
Ni wazi muingiliano wa watu ndio kichokoo kikubwa cha kueneza virus wa corona.. Kusafiri, na kuhama sehemu moja kwenda nyingine.. Mizunguko ya siku nzima tunakutana na watu anuwai...
Toka kila sehemu.. Jioni tunarudi majumbani kwetu je tunakuwa tumesalimika kiasi gani?
Kukipambazuka tunaelekea makazini kwetu inawezekana kabisa wewe uko salama na umezingatia taratibu zote za kinga lakini je vipi jirani yako? Jana alipita wapi? Alikutana na nani? Je yuko salama? Je kazingatia tahadhari zote za kinga?
Muda unakimbia kwa kasi sana... Jiandae sasa, weka akiba ya chakula ndani, maji na kila chenye umuhimu... Tunaweza tusimalize wiki kabla hatujatangaziwa habari mbaya ya TOTAL LOCK DOWN... Hujachelewa anza sasa
Jr[emoji769]
Tahadhari ya kwenda kukomba vitu madukani ili bei zipande na masikini wafe njaa? Hivi kwanini mnakuwa hivyo, huwa mnatumwa?Ulikuwa ni uzi wa tahadhari na katika hali kama ile haikuwa vibaya kukumbushana ya muhumu..waliozingatia walifanya na ni moja kati ya nyuzi zilizohamasisha watu kuchukua tahadhari
Hata hivyo serikali inatakiwa isiseme kuwa Tanzania hakuna korona kabisa, bali iendelee kuwahimiza wananchi kuchukua hatua za kujikinga na korona; yaani social distancing, matumizi ya barakoa kwenye hadhara ya watu wengi, na kunawa mikono mara kwa mara kwa kutumia sabuni. Hakuna haja ya lockdown[emoji1545][emoji1545][emoji1545]Kuna jirani yangu pamoja na familia yake walikwenda Ngorongoro na mlima Kilimanjaro kwa zaidi ya mwezi mzima tangu mwanzoni mwa Februaryu hadi katikati ya March. Ilikuwa ndiyo mara yao ya kwanza kufika Tanzania, na kweli walifurahi sana; sasa hivi wanapanga kuwa wanakwenda kila mwaka. Walisema kuwa safari yao yote tangu mwanzo mpaka mwisho, ni Tanzania tu walipopimwa joto uwanja wa ndege kabla ya kuruhusiwa kuingia nchini, na hiyo ni February. Baada ya likizo yao waliporudi, waliingia Marekani bila kupimwa lolote, yaani mwezi wa tatu kabla Trump hajafunga anga. Inawezeka zile hatua za awali za kuwapima wageni wote waliokuwa wanaingia Tanzania zilisaidia kwa kiasi fulani.
Hata hivyo serikali inatakiwa isiseme kuwa Tanzania hakuna korona kabisa, bali iendelee kuwahimiza wananchi kuchukua hatua za kujikinga na korona; yaani social distancing, matumizi ya barakoa kwenye hadhara ya watu wengi, na kunawa mikono mara kwa mara kwa kutumia sabuni. Hakuna haja ya lockdown.
Huu uzi ulijaa’wataalamu’ na wanajimu wa kila aina.[emoji1787]