Tetesi: Kuna uwezekano mkubwa wa LOCKDOWN nchi nzima. Kama hujajiandaa fanya sasa

Status
Not open for further replies.
Nilikuwa sahihi kuweka TAHADHARI...sikukosea na SIKUCHEMKA...mamlaka zilisitisha updates za huu ugonjwa na hili likaleta shida sana lakini SIASA zikazidi maarifa na ujuzi kwakuwa kwa Tanzania siasa ndio kila kitu
Baada ya hapo tukashurutishwa na wenzetu kufanya vipimo kwanza kama tunataka kwenda kwao...kwenye hivyo vipimo waathirika wa covid wapo ...lakini hili halisemwi na sababu ziko wazi

Nimetakiwa kuthibitisha ..nimethibitisha kwa kutaja chanzo lakini mnaosema hakuna covid hamna ithibati yoyote zaidi ya maneno ya wanasiasa

Nakubali kuomba radhi ninapokosea na nimefanya hivyo mara nyingi tu...sikubali kuomba radhi kwa kitu ambacho sijakosea

Sent using Jamii Forums mobile app
 
sina imani na mashabiki wa chadema.

hawa watu hata kama jambo lina ukweli,namna anavyolishape utagundua lengo sio kukueleza ujue ukweli.bali kukupandikiza chuki flani ambayo kimsingi haina ulazima.

kuna watu wana chuki ya wazi kwa magufulu sababu hatuzijui,aina hiyo ya watu inatakiwa uwasikilize kwa utulivu sana utajua nia waliyo nayo juu yako kwa mtu wanayemchukia.

wenzetu wanasahau kwamba mbali na itikadi zetu za kisiasa bado tunatakiwa kusimama kama taifa wakati wa vita yoyote,ila bahati mbaya wao lengo lao ni biashara zao,na madeal yao yaliyosinyaa.
 
Wao kila jambo huwa wanapinga tu
Ni pingapinga tu.

Ona wanavyoumbuka Sasa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hahaa, mshana ni muungwana, naamini atapitia upya uzi wake na kutupa mrejesho

[emoji3]
 
Haaaaa Haaaaa 😂 mtu anaboil halafu anaruka futi 100,
 
Yan nachukia sana pale mtu anapojidai anajua kila kitu wakati hajui chochote zaidi ya kukopi kupest. Pamoja na kutafuta attention kwa Pipozzzz
 
Yan nachukia sana pale mtu anapojidai anajua kila kitu wakati hajui chochote zaidi ya kukopi kupest. Pamoja na kutafuta attention kwa Pipozzzz
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Jamaa huwa namkubali kwenye baadhi ya Mambo ila kwenye huu Uzi wallah amechemka sana.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…