Tetesi: Kuna uwezekano mkubwa wa LOCKDOWN nchi nzima. Kama hujajiandaa fanya sasa

Status
Not open for further replies.
Shida nikuwa humu Jf wapo wapuuzi wanajiona wao ndio bora sana
Kuongopa au Kupinga jambo la Serikali wanajiona Kichwani wapo vizuri kumbe Vilaza tu
Wanajazana upepo humu kwa kujifanya wajuaji Kila kitu wao
Hovyo kabisa
 
We jamaa una akili Sana[emoji122]
 
Shida nikuwa humu Jf wapo wapuuzi wanajiona wao ndio bora sana
Kuongopa au Kupinga jambo la Serikali wanajiona Kichwani wapo vizuri kukbe Vilaza tu
Wanajazana upepo humu kwa kujifanya wajuaji Kila kitu wao
Hovyo kabisa
Hasa huyu Kipangaspecial
Anajionaga ana akili kuzidi serikali yetu tukufu[emoji1787]
 
Shida nikuwa humu Jf wapo wapuuzi wanajiona wao ndio bora sana
Kuongopa au Kupinga jambo la Serikali wanajiona Kichwani wapo vizuri kukbe Vilaza tu
Wanajazana upepo humu kwa kujifanya wajuaji Kila kitu wao
Hovyo kabisa
Haaaaa Haaaaa πŸ˜‚ nimecheka mpaka nimelia mimi, eti kumbe vilazaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Hawa ndio wenye vinyongo na serikali

Unakuta anaanzisha maada kumbe ana lengo lake

Aje tu kukiri kuwa alichemka
 
HiVI NANI KAIFUFUA HII THREAD[emoji23][emoji23][emoji23]

Nimekuja kujua hata zila Covid 19 tests za siri walizofanya Kwenye Mapapai, Oil chafu(akina Jabir Hamza), Mafenesi nk Walikua Sahihi Na walikuj kugundua vifaa vile vimekua contaminated tayari na Covid 19
Jamaa wana akili Sana
 
Haaaaa Haaaaa πŸ˜‚ mbavu zangu zimevunjika πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚, sasa sijui itakuwaje
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…