Mimi hali halisi naipata mtaani kwangu yaani block ya Mbezi Beach ninayoishi hakuna mgonjwa wa corona kila jumamosi tunakutana kwenye vikao vyetu vya mitaa hakuna mgonjwa hata mmoja. Pia kazini kwangu taasisi yetu inawatumishi kama 1,200 Tanzania nzima lakini hakuna mgonjwa hata mmoja tuna vikao mara moja kwa wiki hakuna update hata moja inayosema kuna corona au mfanyakazi amekufa kwa corona katika kipindi chote cha tangu March 2020. Huo ndiyo ushahidi wangu!Nenda External kituo cha upimaji hapo ndio utapata kila kitu..haya na wewe niambie takwimu zenu mnazipata wapi
Hivi ugonjwa ulio hatari unafichika kweli?Wewe si umeziona??
Mbona unashindwa kuziweka?
Kabisa MkuuJPM Kwenda mbele, hakuna pingamizi
Huyu baba amefanya mazuri mengi mnoJPM Kwenda mbele, hakuna pingamizi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwanza inabidi tuyatoe hayo mapepo ya kushabikia vitu vya ajabu[emoji44] We jilingishe tu jifanye kunikana hunijui ukakutane na vinyelamumo huko ndo utaelewa Sasa..
Mbona Wewe unadai wenzio wakuwekee?Sio msingi wa mada ...mnashindwa nini kwenda kuziona wenyewe?
Tuachane na hayo sweetie mwenzio naumwa![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwanza inabidi tuyatoe hayo mapepo ya kushabikia vitu vya ajabu
Kwakweli [emoji23][emoji23]Hivi ugonjwa ulio hatari unafichika kweli?
Kama kweli watu wangekuwa ni wagonjwa kivile si ingejulikana tu? Kila kona na kila pembe ya nchi hao wagonjwa wangeonekana tu.
Mimi bado naamini kuwa Corona si ugonjwa hatari kama tulivyoaminishwa hapo awali.
Hivi mashule yamefunguliwa lini vile?
Tundu Lissu tokea aje ishapita miezi miwili sasa na havai tena barakoa na hajitengi na watu.
Umeona mikutano yake inavyofurika?
Kama kweli hiyo Corona ipo na ni hatari, mbona yeye na wenzake hawajadondoka na kufa?
Unaumwa kwa sababu unashabikia genge la vichaa[emoji1787]Tuachane na hayo sweetie mwenzio naumwa!
Mama angalia maneno yako unanitesa ujue! Huo ukatili umeutoa wapi..?Unaumwa kwa sababu unashabikia genge la vichaa[emoji1787]
Mbona hivyo?? Acha watu wabishane siku iende Uzi ukifungwa hawa washiriki wa Uzi huu utakuwa umewaharibia sana
Hata maandiko yanasema;Kabisa Mkuu
Najionaga Mpumbavu sana
Mimi nilikua Nampinga na Kumchukia Magufuri humu
I ADMIT I WAS WRONG [emoji25]
Yani nilikua kapumbavu Mimi [emoji24][emoji24]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kwenda[emoji108]Mama angalia maneno yako unanitesa ujue! Huo ukatili umeutoa wapi..?
🚶[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kwenda[emoji108]
Weka data acha kurukarukaSoma tena nilichoandika na mimi nina ithibati za kituo cha serikali location nimetoa vip nyie ithibati yenu ninini?