Tetesi: Kuna uwezekano mkubwa wa LOCKDOWN nchi nzima. Kama hujajiandaa fanya sasa

Status
Not open for further replies.
SIJUI walitumia KIPIMO kipi kuona HAKUNA corona Tanzania.....[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sidhani kama wataweza kukujibu hili...shida tuliyo nayo ni UFAHAMU ..Ingekuwa corona haipo Tanzania tusingekuwa na idara ya vipimo Ubungo External
 
Weka data acha kurukaruka
Sisi ndiyo watu wenyewe ambao tunaishi mtaani.
Data zipo Ubungo External penye kituo kikuu cha vipimo... Na wewe weka ithibati za kuwa Tanzania hakuna corona na ilimalizwa kwa maombi...baada ya hapo ndio tutajua ni nani anarukaruka
 
Toka mtandaoni: Wapungie mkono!
 
Duu mama yangu weeee....Jesus Christ on the cross!!! Kwahiyo maombi yamefanya kazi kwenye corona lakini ikashindwa kwenye magonjwa mengine? Basi kama haya maombi hayabagui basi kuna tatizo kubwa mahali...!!!!
Kwa mara ya kwanza tangu dunia kuumbwa kuna mtu kafanya muujiza kupitia maombi mpaka ugonjwa ukatoweka...HILI HATA KRISTO hajawahi fanya!!!!
 
Wana kelele zisizoumiza.
Hizo spana zao watapigwa wenyewe nimeshaandaa kadi yangu ya kupigia kura

Wao watakua busy kujipaka wino kusingizia wameshapiga kura wakati kadi hawana,hawapo vutuon mwao etc

Corona corona corona ilikua wimbo wao. Mara leo wanampongeza kagame,mara wanakebehi maombi nchi nzima huku wakiwa busy kusambaza clip za museven akidhihaki maombi
 
Mshana Jr Uraiani watu Wanahimiza Siku ya Uchaguzi 28/10 isipelekwe mbele Wakampe kula MAGUFURI

Hivi unadhani hao mashabiki watakaoenda humo Wanamjua Robert Amsterdam Au Pompeo ? [emoji28][emoji23]View attachment 1596747
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]maajabu hayaishi bongo land nchi ya wagagagigikoko...CORONA kwa maombi AIDS kwa tembe
 
Teh
Teh teh πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚kiukweli sijawah Cheki kama leo, uwiiiiie πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Mazuri yapi? unaweza taja hata mawili ?
 
Umemaliza mzee Baba vingine anakopigi you tube Akija kuandika vilaza wenzie wanaona booonge la mutu, hallloooo
 
Nyie mnaosema ipo mtuambie iko wapi??
Au mna anga la peke yenu hapa tz ambako mnaiona Corona?
Shost leo una hasira za kuua mtu kabisa, umekula nini leo bebi wangu nikuongezee tena, walahi leo umenimaliza mie mtoto wa mutu
 
Achana nae huyo mtafuta Kiki za kijinga
 
Sawa kama upo Mbona hatufanyi Precautions zozote kuhus hilo Gonjwa kama hapo Mwanzo Daladala watu tunasimama, ndoa tunafunga kama kawa, kwanini yani ?? Kwanini hatupo Lockdown kama ulivyosema Kwanini yani ?? NIJIBU
Achana nae bulicheka πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]maajabu hayaishi bongo land nchi ya wagagagigikoko...CORONA kwa maombi AIDS kwa tembe
Hahahahh
MAOMBI pekee hayakuondoa Corona Ni mikakati ya Serikali ikiwa ni Pamoja kutokukubali kulamba wazungu Makalio (kufuatisha walichokuwa wanakitaka)

Tuwe tuu Makini na Ujuaji wetu
 
Awwww cocochanel wanamkubali ila niWIVUtuu
 
Huyu jamaa mimi nilisha mshtukia kitambo sana,ndio maana hua anajikita kwenye issue za kichawi nakishirikina coz hizo issue ni za kiimani tu na hazithibitishiki,sasa hua anajiongopea kujiingiza kwenye issue za siasa ndio maana hua anadondokea pua,kuna watu humu hua wanamuona bonge la great thinker! Huyu jamaa akileta mada humu hua hataki kupingwa kabisa,anasahau kua hizo zama zilishapita,tupo kwenye zama za kuhoji.
 
Hahahahh
MAOMBI pekee hayakuondoa Corona Ni mikakati ya Serikali ikiwa ni Pamoja kutokukubali kulamba wazungu Makalio (kufuatisha walichokuwa wanakitaka)

Tuwe tuu Makini na Ujuaji wetu
Kwahiyo Tanzania hakuna corona
 
kwa akili yako unadhani ingekuwepo lissu mpenda sifa angekaa kimya kwa namna anapenda kiki za kisiasa? angekubali kuhatarisha afya yake na za wanachama? umetumia mifano ya kitoto sana kuutetea ujinga wa mtoa mada
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…