Kuna kitu watu wengi mnajidanganya. Mnasema ni bora kufa kwa corona kuliko kufa kwa njaa.
Wewe na wenzako wenye mindset kama yako mkae mkijua kwamba moja ya masharti ya mtu anayeumwa Covid 19 ni kurest.
Ukishaumwa hiyo corona kuendelea kufanya kazi zako itakuwa ni kukitafuta kifo chako kwa kasi.
Hapo ndipo tutakapopukutika kama kuku wenye kideli.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Teh watanzania tulivyo matapeli kuna kaya zitapata milioni kumi na zingine zitaambulia patupu
Kwanz unaijua njaa ww ?Kuna kitu watu wengi mnajidanganya. Mnasema ni bora kufa kwa corona kuliko kufa kwa njaa.
Wewe na wenzako wenye mindset kama yako mkae mkijua kwamba moja ya masharti ya mtu anayeumwa Covid 19 ni kurest.
Ukishaumwa hiyo corona kuendelea kufanya kazi zako itakuwa ni kukitafuta kifo chako kwa kasi.
Hapo ndipo tutakapopukutika kama kuku wenye kideli.
Njia za ueneaji ndiyo hatari, pia ina martality rate ya 3.5 hivyo don't undermine covidI don't like the idea. Sio suluhisho, what if virus vikiwa vikali for Long time, why ebola ilikuwa hapo Congo na hatukuenda lockdown?
Corona is real but over hyped, overrated.
Kama umeshindwa kuelewa hata kidogo nilichoandika basi sina cha kukusaidia...Kwanz unaijua njaa ww ?
Ukute umezaliwa familia za kupakiwa blue band kwenye mkate asubuh kisha unasubir yale magar ya njano
Kijana njaa,mafuriko vita haya ni zaid ya magonjwa
UK,USA wao wametenga billions of £$ ku facilitate lockdown. Biashara zitapewa fungu kuzilinda. Banks zinasaidiwa zisogeze mbele malipo ya mikopo yote ikiwemo nyumba. Makampuni yatalipwa hela yasiachishe watu kazi. Wenye nyumba wenyewe wameambiwa hamna ruhusa kumtoa mtu atakaeshindwa kulipa Kodi kwa miezi sita. Sasa hapa kwetu tumeandaa fungu lipi?Naomba Mungu tusifikie huko kwenye Total Lock Down...
Hiyo kitu ni balaah sana kwa mustakabali wa uchumi na maisha yetu kwa ujumla...
Cc: mahondaw
Kuachapa kazi na kuacha kutishana....nchi fulani ina wagonjwa 15!
UK,USA wao wametenga billions of £$ ku facilitate lockdown. Biashara zitapewa fungu kuzilinda. Banks zinasaidiwa zisogeze mbele malipo ya mikopo yote ikiwemo nyumba. Wenye nyumba wenyewe wameambiwa hamna ruhusa kumtoa mtu atakaeshindwa kulipa Kodi kwa miezi sita. Sasa hapa kwetu tumeandaa fungu lipi?
Cc Mshana Jr
Mkuu hawa wenzetu ukifuatilia jendwali la maambukizi nao walianza na wagonjwa wachache tena zaidi ya sisi.
Hii hali sio ya kupuuziwa.... Hata ka lock down ka 3 weeks kanafaa kubaini hali.
Mkuu hawa wenzetu ukifuatilia jendwali la maambukizi nao walianza na wagonjwa wachache tena zaidi ya sisi.
Hii hali sio ya kupuuziwa.... Hata ka lock down ka 3 weeks kanafaa kubaini hali.
Kuna taarifa kwamba tumefanikiwa kupata mkopo wa elimu...
Tunaweza zielekezea kwenye janga la Covid19 kama kawaida yetu...
Cc: mahondaw
Muhimu ni kuchukua hatua binafsi. Jilinde na linda afya yako. Serikali za Afrika haziwezi kulinda watu wake.Kuna siku mtu atakuja kushituka familia yake yote imepukutika kwa sababu ya kauli hizi za viongozi...
Muhimu ni kuchukua hatua binafsi. Jilinde na linda afya yako. Serikali za Afrika haziwezi kulinda watu wake.
Huo mkopo ulichelewa kwa sababu kadhaa mojawapo ni kudhaniwa utafanyiwa mambo mengine. Hauwezi kutumika kupambana na Corona.Kuna taarifa kwamba tumefanikiwa kupata mkopo wa elimu...
Tunaweza zielekezea kwenye janga la Covid19 kama kawaida yetu...
Cc: mahondaw
Mkopo wataanza kupewa kuanzia mwezi wa 6 mwaka 2021. Kama tutazisubiri hizo pesa tutakuwa tumeahazika nusu ya watanzania.