Tetesi: Kuna uwezekano mkubwa wa LOCKDOWN nchi nzima. Kama hujajiandaa fanya sasa

Status
Not open for further replies.
Huu ndio ukweli mchungu

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Mpaka kesho sielewi Yanga alimfungaje Simba ile tarehe 8 siku ya wanawake Duniani lakini ndio hivyo tena wanasema hata kama ni ushindi Simba anaweza apewe na ligi iwe imeisha tusubirie mwakani tena, hapa Mshana sina uchawi wowote wa kikwetu au wa kitaalamu lakini hisia zangu tu ni kwamba mwisho wa mchezo mtakuwa mmefungwa 1- 0 na wengi hawataamini na wengine wataanza kuamini maneno ya mitume wa Kawe na Ubungo kwani neno litakuwa limetimia
 
.
Your browser is not able to display this video.


Jr[emoji769]
 
Are we prepared?
Your browser is not able to display this video.


Jr[emoji769]
 
Kwetu sidhani mkuu,tumeona majirani serikali imemsaidia corona kuua raia wake,tuendelee kujikinga kwa kadiri inavyowezekana na kujiepusha kukaa kwenye misongamano,pia kama hauna issue ni bora kutulia home kama mimi ninavyofanya leo.

macson
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Qn
 
Hakuna Lockdown Tanzania kamwe!
 
Hivi mtu ana njaa halafu umwambie akae ndani? Bora kufa kwa risasi za polisi au Corona kuliko njaa na kiu, maana njaa na kiu vinaua kwa mateso makali sana, lakini polisi akikupiga risasi unakufa papo hapo, au Corona ndani ya siku chache tu unakufa
 
Sidhani na siamini kama "total" au "partial lockdown" ndiyo mwrobaini wa kuzuia kusambaa kwa virusi vya korona. Yeyote mwenye mawazo hayo ni mwenye uwezo wa kumudu maisha hata akijifungia ndani. Kama ni hivyo kwa nini asifanye yeye na familia yake?

Mworobaini ulio na uhakika ni kwa Serikali kutoa msaada wa vikinga ugonjwa huo (masks + sanitisers + maji + sabuni) pale inapolazika watu kukusanyika km vituo vya magari ya abiria, hospitali na sokoni. Ni pamoja na kilammoja wetu kuzingatia ushauri wa kitaalamu bila shurti.
 
Sikutegemea ushauri mbaya kiasi hiki kutoka kwa mtu kama wewe, sitegemei mtu kama wewe usiwe unaona panic ya huko nje jinsi inavyofanya watu wanasafisha malls na supermarkets sababu wanahofia vitu kuisha.

Watu wanachotakiwa kufanya ni kuwa watulivu, biashara ya bidhaa muhimu kwa binadamu zitaendelea kuwepo na hazitafungwa. Ukisema kila mtu aweke stock ndani unakosea sababu kutakuwa na scramble ya hizo bidhaa.

Kumbuka lockdown haimaanishi kwamba watu hawaruhusiwi kutoka nje, kinachotakiwa kufanywa ni kuhakikisha ndani ya familia anatoka mtu mmoja kwenda kufuata mahitaji muhimu.

Unforgetable
 
Mshana Jr, Dsm mwishoni mwa mwaka jana (2019) kulikuwa na mlipuko wa mafua makali, hadi Wizara ya Afya ikalazimika kutoa tamko la tahadhari. Waliopatwa na mfua hayo walikuwa na dalili zote za ugonjwa wa COVID-19. Yawezekana kuna waliopoteza maisha lakini umepita bila "lickdown" au masharti ya kujikinga na maambukizi kama sasa.
 
Looh salale...
Your browser is not able to display this video.


Jr[emoji769]
 
Tuige Kenya wao hawatoki usiku tu na wamezuia watu kutoka na kuingia Nairobi. Lockdown hapa kweli itakuwa na madhara makubwa kuliko corona yenyewe
Tusiige tu tuwe na ushahidi wa kile tunachokiiga
 
.
Your browser is not able to display this video.


Jr[emoji769]
 
South Africa wameshindwa, watu wameona bora kufa kwa covid 19 kuliko njaa. Kwa Africa kumwambia mtu total lockdown ni kumwambia akafe njaa nyumbani kwake.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…