Traxtion
JF-Expert Member
- Dec 10, 2021
- 8,000
- 16,414
😅 Kumbe huwa hazidumu. Mimi wazazi wangu bado wanaendelea kuishi forever, hata sijawahi kuona wakigombana wala nini. Kila mtu kabaki na dini yake hadi leo hii wapo pamojaMnaweza kuoana lakini ndoa isidumu.. Asilimia 90 ya ndoa za namna hiyo huwa hazidumu.. Hizo ni falme mbili tofauti, zikisigana kutafuta umiliki mtaishia kuachana! Labda ufalme mmoja ukubali kushindwa na kutii mamlaka ya mwingine
Mimi nikipenda mwanamke sitajali dini, kama ni kuoa namuoa maana nimeona my parents wakifanya hivyo na wanaishi vizuri sana.