Skull dance
JF-Expert Member
- Mar 11, 2021
- 476
- 953
Piga mimba tu mzee lazima wakuletee mke wako
Leta aya acha ngonjeraMnaweza kulazimisha na kuona haina shida, ila ipo shida, kusudi la kuoana ni kuja kusaidiana katika kulitimiza kusudi la Mungu. Kuwa imani tofauti tena wanandoa ni mgogoro mmojawapo... Kwenye urafiki/uchumba unaweza kuona haina shida ila kwenye ndoa ni maisha halisi na utaona rangi ambayo hukuwahi kuiona kwenye uchumba.
Suala la ndoa ni la kiroho na kimwili, kama kiroho mnatofautiana kiimani tayari hapo mmetengeneza tatizo kabla ya kukutana nalo.
Kibiblia hili jambo haliruhusiwi na Mungu, unapaswa kuoa/kuolewa na mkristo mwenzako mwenye mapokeo sawa na yako, na imani sawa na yako.
Acha kujidanganya kuwa tunapendane sana, imani ni suala muhimu sana katika ndoa yenu.
Asante
Kama msipoonana analia si tayari ashakuwa mkeo?Habari Ndugu zangu, Mimi Kuna jambo napenda kuwashirikisha labda huenda naweza pata suluhisho..kama kuna mashehe humu au wachungaji mnisaidie..
~Mimi binafsi Kuna Binti tumependana, tumependana mpaka kwenye hatua ya kuwa tusipoonana Binti anaanza kulia...ila sasa Binti ni wa dini la Anglican na Mimi ni dini la Kiislamu..
Ninaitwa Abdullah kutoka Arusha nina miaka 25..na sote Mimi na yeye tupo ARUSHA...
~ Sasa pamoja na hayo wazazi wake wakaja juu haiwezekani mara wakaweka vikwazo vingi wakanambia mpaka niwe tayari kubadirisha dini...
Wakasema tukioana kikawaida bila ndoa kanisani wao watatengwa na wasimamishwe utumishi.
~ Sasa Binti ashanipenda anapenda tuoane...
Unaweza kuwa na ushauri wowote? Chakufanya ili tuoane kwa njia nzurii na rahisi?
Naombeni ushauri wataalamu
Vipi kama hawataki watoto?
Ni tofauti...kikristo Kuna utatu...na ukiislamu Kuna umoja..
Hata nikileta hutaaminiLeta aya acha ngonjera
Leta aya acha maneno mengiHata nikileta hutaamini
Vip watoto wakafuata dini ya mama kama mume ni mkristo ikiwa kama sehemu ya makubaliano yenuHapa umepuyunga
Kidini waislamu tunaruhusiwa kuoa mwanamke wa kikristo bila yeye kubadilisha dini yake lakni mwanaume unatakiwa usimamie uzao wako uwe wa dini ya kiislamu namaanisha watoto wenu mtakao zaa wasifate upande wa mwanamke kwenye dini wawe waislam
Mkuu kwenye uislamu,mwanamke wa kiislamu haruhusiwi kidini kuolewa na mwanaume asiye kua muislamu.Vip waroto wakafuata dini ya mama kama mume ni mkristo ikiwa kama sehemu ya makubaliano yenu
Kasim Majaliwa ameoa mke Mkatoliki kindakindaki na maisha yanakwenda, Mkapa alioa Mlutheri maisha hayakusimama, shida ni watu fulani huona imani zao hazitakiwi kushea furaha na wengine wakisahau kuwa dini zilitukutaTatizo ni hao wazazi wake
Ila mimi wazazi wangu, mzee ni Anglican na maza ni muislamu na wameoana fresh tu bila shida
Tho sikuwepo in their marriage ila at least unaweza kujua inawezekana kuoana watu wa dini tofauti wakaishi muda mrefu huku kila mtu akibaki na dini yake
Njia rahisi ni huyu mwanamke abadili dini awe muislamu,au wewe ubafili dini uwe muanglikanaHabari Ndugu zangu, Mimi Kuna jambo napenda kuwashirikisha labda huenda naweza pata suluhisho..kama kuna mashehe humu au wachungaji mnisaidie..
~Mimi binafsi Kuna Binti tumependana, tumependana mpaka kwenye hatua ya kuwa tusipoonana Binti anaanza kulia...ila sasa Binti ni wa dini la Anglican na Mimi ni dini la Kiislamu..
Ninaitwa Abdullah kutoka Arusha nina miaka 25..na sote Mimi na yeye tupo ARUSHA...
~ Sasa pamoja na hayo wazazi wake wakaja juu haiwezekani mara wakaweka vikwazo vingi wakanambia mpaka niwe tayari kubadirisha dini...
Wakasema tukioana kikawaida bila ndoa kanisani wao watatengwa na wasimamishwe utumishi.
~ Sasa Binti ashanipenda anapenda tuoane...
Unaweza kuwa na ushauri wowote? Chakufanya ili tuoane kwa njia nzurii na rahisi?
Naombeni ushauri wataalamu
Kwa mwanamke hairuhusiwi mkuuVip watoto wakafuata dini ya mama kama mume ni mkristo ikiwa kama sehemu ya makubaliano yenu