ITR
JF-Expert Member
- Sep 22, 2022
- 7,637
- 20,676
Kama dini haina maana kwanini kila mtu anangangania abaki kwenye dini yake badala mmoja kufuata mwenzake ili iwe rahisi kwao kufunga ndoa?Wahusika wameshapendana tayari. Dini haina maana tena
Kama dini haina maana yeyote mbele ya upendo huyo mleta mada hata asinge kuja hapa kuomba ushauri wa ni namna gani afunge ndoa na mtu wa dini tofauti bali angetekeleza matakwa ya wazazi wa binti.
Lakini kwa sababu dini yake ni muhimu ndo maana kaja hapa kuomba ushauli ina maana hiyo yote yakishindikana yuko tiyari kumuacha binti lakini sio kubadili dini.