😅 Kumbe huwa hazidumu. Mimi wazazi wangu bado wanaendelea kuishi forever, hata sijawahi kuona wakigombana wala nini. Kila mtu kabaki na dini yake hadi leo hii wapo pamojaMnaweza kuoana lakini ndoa isidumu.. Asilimia 90 ya ndoa za namna hiyo huwa hazidumu.. Hizo ni falme mbili tofauti, zikisigana kutafuta umiliki mtaishia kuachana! Labda ufalme mmoja ukubali kushindwa na kutii mamlaka ya mwingine
Wanasemaga ni yuleyule mmojaKwani mungu wa Ukristo na Uislamu sio mmoja?!
Ndoa walifungia wapi kanisani au SERIKALINI?😅 Kumbe huwa hazidumu. Mimi wazazi wangu bado wanaendelea kuishi forever, hata sijawahi kuona wakigombana wala nini. Kila mtu kabaki na dini yake hadi leo hii wapo pamoja
Mimi nikipenda mwanamke sitajali dini, kama ni kuoa namuoa maana nimeona my parents wakifanya hivyo na wanaishi vizuri sana.
Walifunga ya kiserikali kabla hata sijazaliwaNdoa walifungia wapi kanisani au SERIKALINI?
Mpe mimba kwanza azae, baada ya hapo hao wazazi wataelewa tu msimamo wako.Habari Ndugu zangu, Mimi Kuna jambo napenda kuwashirikisha labda huenda naweza pata suluhisho..kama kuna mashehe humu au wachungaji mnisaidie..
~Mimi binafsi Kuna Binti tumependana, tumependana mpaka kwenye hatua ya kuwa tusipoonana Binti anaanza kulia...ila sasa Binti ni wa dini la Anglican na Mimi ni dini la Kiislamu..
Ninaitwa Abdullah kutoka Arusha nina miaka 25..na sote Mimi na yeye tupo ARUSHA...
~ Sasa pamoja na hayo wazazi wake wakaja juu haiwezekani mara wakaweka vikwazo vingi wakanambia mpaka niwe tayari kubadirisha dini...
Wakasema tukioana kikawaida bila ndoa kanisani wao watatengwa na wasimamishwe utumishi.
~ Sasa Binti ashanipenda anapenda tuoane...
Unaweza kuwa na ushauri wowote? Chakufanya ili tuoane kwa njia nzurii na rahisi?
Naombeni ushauri wataalamu
Kwa jinsi sisi waafrika tunavyo ipa dini thamani na umuhimu hiyo ndoa ina nafasi ndogo sana ya kuwa na amani hasa baada ya wao kupata watoto maana kila mtu atataka watoto wafuate dini yake.Kuona watu wa dini mbili tofauti hasara ni zipi?
Watu walio ruhusiwa kuolewa na waislamu ni watu wa kitabu walio walio kuwa wanaamini katika torat ya musa na sio hawa wakristo wanao amini kwenye agano jipya la Paulo na wanao sema yesu ni mungu.Hapa umepuyunga
Kidini waislamu tunaruhusiwa kuoa mwanamke wa kikristo bila yeye kubadilisha dini yake lakni mwanaume unatakiwa usimamie uzao wako uwe wa dini ya kiislamu namaanisha watoto wenu mtakao zaa wasifate upande wa mwanamke kwenye dini wawe waislam
Umesha sema wazazi wako na sio kizazi cha kianzia miaka ya 90 kuja juu.😅 Kumbe huwa hazidumu. Mimi wazazi wangu bado wanaendelea kuishi forever, hata sijawahi kuona wakigombana wala nini. Kila mtu kabaki na dini yake hadi leo hii wapo pamoja
Mimi nikipenda mwanamke sitajali dini, kama ni kuoa namuoa maana nimeona my parents wakifanya hivyo na wanaishi vizuri sana.
iyo sawa kabisa !Usije kuingia kwenye mtego wa kufunga ndoa kila mtu akiwa dini yake; Utajutia....
Ushauri wangu; BintI ameshafikisha miaka 18 hivyo ana haki ya kuhamia dini aipendayo hivyo akubali kubadilisha na kuwa Muislam.
Hii ni tafsir yako hapo kutoka kijiwe Cha kahawa, sio ya maneno kwenye QuranWatu walio ruhusiwa kuolewa na waislamu ni watu wa kitabu walio walio kuwa wanaamini katika torat ya musa na sio hawa wakristo wanao amini kwenye agano jipya la Paulo na wanao sema yesu ni mungu.
Dini ni useless. Oa unayempendaWatu walio ruhusiwa kuolewa na waislamu ni watu wa kitabu walio walio kuwa wanaamini katika torat ya musa na sio hawa wakristo wanao amini kwenye agano jipya la Paulo na wanao sema yesu ni mungu.
Mimba ndiyo suluhisho. Ukimpa mimba hao wanaokataa ndo watakuomba umuoe~ Sasa Binti ashanipenda anapenda tuoane...
Unaweza kuwa na ushauri wowote? Chakufanya ili tuoane kwa njia nzurii na rahisi?
Watu wanapendana we unasema ni utoto 🤨Unaongea lakini unajua ukweli wake huo utoto unokuhangaisha tu kwani hakuna Muislamu mwenzako ukamuoa
Kwa waafirika wengi dini ni kitu muhimu sana na kinacho thaminika sana usirahisishe.Dini ni useless. Oa unayempenda
Ebu nipe aya au hadhithi iliyoko kwenye Qruan ili kuyapa uhalali maelezo yako.Hii ni tafsir yako hapo kutoka kijiwe Cha kahawa, sio ya maneno kwenye Quran
Wahusika wameshapendana tayari. Dini haina maana tenaKwa waafirika wengi dini ni kitu muhimu sana na kinacho thaminika sana usirahisishe.
Mwamini (Aliyempokea Yesu) hawezi kuchangamana na mpagani (Asiye mwamini Yesu).Habari Ndugu zangu, Mimi Kuna jambo napenda kuwashirikisha labda huenda naweza pata suluhisho..kama kuna mashehe humu au wachungaji mnisaidie..