Kuna uwezekano mwanamke wa dini la Anglican kuoana na mwanaume wa dini la kiislamu?

Leta aya acha ngonjera
 
Kama msipoonana analia si tayari ashakuwa mkeo?
 
Vipi kama hawataki watoto?


Kama hawataki watoto, wabebane wakaishi tu kipagani. Hawawezi kufunga ndoa kama hawataki watoto, maana agizo kuu katika ndoa ni kwenda kutekeleza agizo la Mungu, "zaeni mkaongezeke, mkaijaze nchi"
 
Ni tofauti...kikristo Kuna utatu...na ukiislamu Kuna umoja..

Mungu wa Wakristo, ni Mungu wa upendo. Mungu wa waislam ni Mungu wa kisasi.

Kwenye ukristo, majini nu ya shetani, kwenye uislam majini ni viumbe rafiki wa waislam kwa sababu mtume aliyasilimisha.

Kwenye ukristo, Yesu Kristo alikuja Duniani kuwaokoa wanadamu kutoka kwenye utumwa wa shetani, utumwa wa dhambi. Kwenye uislam, shetani ni rafiki wa waislam kwa sababu Muhammad alimsilimisha.
Kwenye ukristo, Yesu Kristo ndiye pekee kweli na uzima, hakuna awezaye kumfikia Baba bila ya kupitia kwake. Kwa waislam, Yesu ni mwanadamu nabii!!
Hapa unaona tofauti kubwa iliyopo, japo wote wanasema wanamwabudu Mungu aliye mmoja. Japo wakristo wanamwabudu Mungu mmoja katika nafsi tatu za utendaji kazi.
 
Vip watoto wakafuata dini ya mama kama mume ni mkristo ikiwa kama sehemu ya makubaliano yenu
 
Kasim Majaliwa ameoa mke Mkatoliki kindakindaki na maisha yanakwenda, Mkapa alioa Mlutheri maisha hayakusimama, shida ni watu fulani huona imani zao hazitakiwi kushea furaha na wengine wakisahau kuwa dini zilitukuta
 
Njia rahisi ni huyu mwanamke abadili dini awe muislamu,au wewe ubafili dini uwe muanglikana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…