OMOYOGWANE
JF-Expert Member
- Dec 30, 2016
- 4,701
- 11,920
Mpaka sasanikitizama video za marudio ya mechi ya Yanga vs Al hilal nikiangalia jinsi ambavyo prince Dube alikuwa anaanguka peke yake bila kuguswa 😆 tena yupo kwenye position ya kufunga anaanguka kama walevi wa ambiance au K vant
Mpaka wqchezaji wa Al hilal wakawa wanaonyesha ishara ya kumshangaa na kumuuliza kama anashida yeyote
Ni wazi kuna uwezekano alikesha bar akaamkia uwanjani au alibugia konyagi ndogo muda mfupi kabla ya mechi kuanza mnaotumia pombe nadhani mtanielewa kwa haraka zaidi.
Mbaya zaidi kocha anamuacha acheze dakika 90 sijui hana macho au huwa haoni vizuri?
Kuna tatizo kwenye timu yetu huenda Tumesajili walevi.
Huu ndio ukweli
Nawasilisha.