Rocky City
JF-Expert Member
- Nov 22, 2017
- 892
- 683
mkuu nna kisa kimoja hapa ni mambo ya aibu ila ndivyo ilivyo, yeye alikutana na mchepuko siku ya 12 akarudi kwa mchumba siku ya 15 baada ya wiki dalili za ujauzito kupima hakuona kitu. baada ya wiki 3 kupima ana mimbaPole sana maana najua mateso ya kuwaza icho kitu japokuwa siyo mlengwa wa moja kwa moja lkn km mwanaume mwenye akili timamu Ukifanya kitu km icho na hukawa bado hujawa tayari kukipokea lazima uathirike psychological. Mbegu za kiume zinaweza kudumu kwa masaa 72 tu. Km kuna vijamaa vilipenya na vikaweza ku survive within 72 hrs na vikaweza kuvunja kingo za yai basi sawa all the best. Lkn pia kumbuka unaweza kusex siku ya hatari na bado husishike mimba, next time Ukifanya kitu km icho na ukawa na shaka kuna dawa za kuhuwa manii zisiweze kurutubisha yai 3 days before unaweza kuzipata duka la dawa. Lala acha kuwaza usiku usiku.
Na ni wa kikeNakumbuka imenitokea siku ya 11 mimba ilipatikana na si kwamba nilihesabu vibaya hapana nilikuwa makini sana,,mimba ilipatikana now mtoto anakuwa tu vizur na maisha yanendelea kama kwaida,,so hizi siku bwana wakati mwingine majanga kabisa
za kiume siku 3Kati ya mbegu za kiume naza kike zipi zipi zinadum kwa siku nyingi?
Inategemea aliyewahi ni nanimkuu nna kisa kimoja hapa ni mambo ya aibu ila ndivyo ilivyo, yeye alikutana na mchepuko siku ya 12 akarudi kwa mchumba siku ya 15 baada ya wiki dalili za ujauzito kupima hakuona kitu. baada ya wiki 3 kupima ana mimba
Hajui mimba ni ya nani?, kama ya mchepuko ndo uchumba umeisha na hataki ndoa maana anahisi inaweza kuwa ya mchepuko ikawa aibu.
maisha ya dada zetu haya ni kazi sana
Niliambiwa siku 5 za kiume na zakike siku 2. Au nilipotoshwa na mwalimu wangu?za kiume siku 3
alianza mchepuko, ila haya mambo ya mimba huwa hayaelewekiInategemea aliyewahi ni nani
Kama ni mchepuko basi mimba ni ya mchepuko
wastani ni siku 3, siku 5 inasema kama mazingira ni rafiki kwa mbegu kuishi humoNiliambiwa siku 5 za kiume na zakike siku 2. Au nilipotoshwa na mwalimu wangu?
Inaonekana ww ni mhanga/ ulisha pitia hiyo kitu...Kama vile nakuona unavyowaza kwamba ukiona siku zako hautafanya tena mapenzi..
Na pia ikiamua kutoka hata wiki mbili mfululuzo itoke tuu .. Ha ha ha ha.
Kama hilo tumbo linakata kama dalili ya kuingia mp na hauingii pengine ni mimba.
Kumwangia nje ni ngumu sana kwa mwanaume, ile unataka kutoa nje unajisemea kimoyo moyo hata kama atapata mimba mm nitaitunza kwani shida n nini, ukisha mwangia ndani ndiyo unaanza kujilaumu kwanini nilifanya hivyo...... HahahahUnaogopa mimba kuliko ukimwi aisee..
Hiyo mbinu ya kumwaga nje ni ngumu sana, inahitaji uzoefu mno...
Mkuu X anaish muda gani na Y muda ganNa ni wa kike
Kiutalaamu siku salama ni 6-9
Baada ya hapo inakuwa ni mimba tu kwani Yai hutoka katika kokwa siku ya 14
Na likitoka linakuta mbegu ya X ikilisubiri ambayo mara nyingi hutengeneza mtoto wa kike
Maana ukifanya ngono siku ya 11 mbegu zinazotoka kwetu sisi wanaume ni X na Y sasa Y anaishi muda mfupi kuliko X
Duu unatafuna kavu videnti?..una hatari mkuu..Inaonekana ww ni mhanga/ ulisha pitia hiyo kitu...
Kama mwanaume hakuwa amejipanga akipokea hizo taarifa unaweza kudata... Kuna mwanafunzi mmoja alisha wahi kujishtukia akanipa taarifa hizo kuwa tumbo linamuuma kidogo nihame mji....
Alivyo enda kupima akakuta hamna kitu, mm na yy mawasiliano tukakata