Kuna uwezekano wa kupata mimba siku ya 11 ya mzunguko wa hedhi?

Hahahahaha miaka 30 jela ilikuwa inanukia.
Kumbe ndiyo maana kipindi cha uanafunzi nilishawahi kumdanganya mtu Nina mimba yake akanipa hela ya kutoa (ofcoz shida yangu ilikuwa hela wala sikuwa na mimba) baadae nikamwambia imetoka weeeee alipotimkia hata napajua...
 
Hata UTI inaweza sababisha hilo tatizo. Subiri siku za mzunguko wako uone kama zimepitiliza.
 
Unaona kama umeona dhahabu yaani.
Kwanza kabla haujaiona ukihisi kitu unawahi kujichungulia fasta wakati huo mwanaume katulia zake hana habari yani.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] yaan acha tuna tabu ss
 

Upo kabisa Mimi wakati navizia kupata baby girl niliku si side siku ya 11 mwisho ilikua ya 10 ku have sex
 
Ukitaka mtoto wa kiume na wakike ni tarehe zipi wakuu?

Nataka mtoto wa kike chap chap
 
Vipi HIV mlipima kabla?

Maana eti kuna wanawake wanaogopa kupata mimba kuliko kupata maambukizi ya virusi hatari vya HIV,

Hii imekaaje?!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…