Mhafidhina07
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 3,340
- 4,659
- Thread starter
- #21
yes nakumbuka kwenye quran inamtaja ibilisi kama ni abaa sajada na alikuwa ni mmoja wa majini wadogo sana hivyo akachukuliwa mbinguni.Kwanza kuna vitu inaonekana umevielewa vibaya.
Moja ni asili ya Ibilisi, Ibilisi sio malaika alie asi, Sifa ya malaika hawezi kuasi kwa sababu hawana uhiari wa kufanya mambo(willing) bali hufanya kadri wanavyoelekezwa na Mungu.
Viumbe wenye sifa ya uhiari ni binadamu na majini, Ibilisi ni katika majini. Ningekueleza asili yake kwa undani ila time is very limited kwa sasa.
Unaposema shetani ni sifa na sio kiumbe kwa maana kila chenye kuasi kati ya mwanadamu au majini hupewa sifa hii ya shetani japokuwa wengi umkusudia Ibilisi kama shetani.
Kuhusu Mungu kuzidiwa na kiumbe alichokiumba nadhani umeshajijibu kwenye maelezo yako kwamba Mungu akawa wabadilishia lugha watu wa Babeli hii inaonyesha Mungu ana nguvu kuwazidi ndio maana akaweza kuwabadilishia lugha.
Any questions so far.?
swali inakuwaje mungu aumbe sifa kinzani?