Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa maana hiyo MUNGU ndiye aliyemuumbia mwanadamu tamaa na halafu tamaa hiyo hiyo ndiyo inakuwa mwanzo wa anguko la mwanadamu.Yakobo 1:13-16
"Mtu ajaribiwapo, asiseme, Ninajaribiwa na Mungu; maana Mungu hawezi kujaribiwa na maovu, wala yeye mwenyewe hamjaribu mtu.
Lakini kila mmoja hujaribiwa na tamaa yake mwenyewe huku akivutwa na kudanganywa.
Halafu ile tamaa ikiisha kuchukua mimba huzaa dhambi, na ile dhambi ikiisha kukomaa huzaa mauti.
Ndugu zangu wapenzi, msidanganyike."
Mhandisi atalaumiwa Endapo ataweka Misingi Iliyo mibovu kwenye Daraja na hata material yasiyojitoleza na Huku akijua Kuwa material hayo hayawezi kuimili Mikiki ya Magari..Kwa maana hiyo MUNGU ndiye aliyemuumbia mwanadamu tamaa na halafu tamaa hiyo hiyo ndiyo inakuwa mwanzo wa anguko la mwanadamu.
Hivi leo hii mhandisi akikabidhiwa daraja ajenge, akajenga baada muda fulani likabomoka,
Je, atakaelaumiwa atakuwa ni mhandisi au daraja lililobomoka?
Sasa mbona mwanadamu analaumiwa sana kwani binadamu kajiumbaMhandisi atalaumiwa Endapo ataweka Misingi Iliyo mibovu kwenye Daraja na hata material yasiyojitoleza na Huku akijua Kuwa material hayo hayawezi kuimili Mikiki ya Magari..
Yaanu tuseme Mhandisi Asiweke Nondo aweke Mbao kati ya Zege akitegemea inaweza kushikirua Zege..
SAsa hapo ndo pakufikiri sanaSasa mbona mwanadamu analaumiwa sana kwani binadamu kajiumba