Kuna uwezekano wa Mungu kuwa na nguvu sawa kitu alichokiumba (shetani)?

yes nakumbuka kwenye quran inamtaja ibilisi kama ni abaa sajada na alikuwa ni mmoja wa majini wadogo sana hivyo akachukuliwa mbinguni.

swali inakuwaje mungu aumbe sifa kinzani?
 
Watu wanaosadikika kuwa wa SHETANI ni wema sana hata kwa matendo yao, watu waliotokana na maombi kwa mfano RAIS, na wanasiasa wengine ambao ni zao la kufunga na kuomba wamekua wauaji sana na wasio na huruma kwa watu wengine, shetani wa bongo ni mwema sana
 
mungu anajua nini tutafanya je hakuliona hilo?mpaka asikitike kuhusu watu wa NUH,sodoma na gomora?
 
Ikiwa nguvu hasi huyo Ni shetani
Ikiwa nguvu chanya huyo Ni Mungu.

Mungu WA kwenye vitabu hivi vya Dini yupo tofauti Sana.

Wanakwambia Quran sio kiarabu.
Sasa kama sio kiarabu Ni sawa.

Lakini ukifikiria Kwa undani Quran Ni kiarabu.

Swali Mungu hutamkwa vipi Kwa kiarabu.
 
mungu anajua nini tutafanya je hakuliona hilo?mpaka asikitike kuhusu watu wa NUH,sodoma na gomora?
OK. Tukiweka assumption kuwa MUNGU anaogopa viumbe vyake na nguvu zote hizi ambazo tunaamini anazo tusisahau kujiuliza pia ni nini hutokea kwa mdudu mende anapokutana na binadamu anayemuogopa?
 
Swala la Mary magdalena tuliweke pembeni kwa leo..
Lina uelewa mkubwa kuliko unavyolihadithia..
 
sawa lakini vitabu vya dini vinaonesha mungu mda mwengine alikasirishwa na matendo yetu na mpk kutaka kutufuta katika uso wa dunia rejelea historia na vizazi vya NOAH/NUH.
Lakini mwisho la lile Gharika la Nuhu! Mungu alisema hatakuja kutoa hukumu tena kwa mwanadamu! Ndio maana akaja bwana wetu Yesu Kristo kwa ajili ya ukombozi wa dhambi zetu! Sahizi kila kitu ni kwa Bwana wetu Yesu Kristo, maana Huyo ndio Njia(way) ya Kweli( the truth) ya Uzima( the Life) mtu hata kwenda kwa baba Bila kupitia kwake.
 
sifa anayopingana nayo.
Ok Nachelea kusema swali lako lina maelezo mapana sana. Ila nitajaribu kujibu kwa ufupi.
Kwanza mwanzilishi wa ulimwengu na vyote vilivyomo ni Mungu mwenyewe. Hivyo hapa utaona kuwa kumbe ata sifa kinzani na anavyotaka yeye, aliye design ni yeye mwenyewe swali lako ni je kwanini Mungu afanye hivyo?
Swali linabaki kuwa mwenye majibu ya kutosheleza na uhakika ni yeye mwenyewe ALLAH. Na hapa tukubali kuwa kuna maarifa mengi mwenyezi Mungu katuficha na hajatufunilia au kawafunulia watu wachache.
Nirudi katika msingi wa swali lako sifa kinzani zipo katika kila kitu na hili mwenyezi Mungu kalisema mwenyewe kuwa hakika ameumba vitu katika pair(jozi) na ndio maana kuna usiku na mchana, dume na jike, uongo na ukweli, urefu na ufupi vivyo hivyo mema na mabaya.
Hapa utaona kuwa kumbe sifa kinzani uwepo wake ni kanuni ya maumbile.
Na ndio maana kwakuwa mwenyezi Mungu analijua hilo ndio maana akatupa akili ili tuweze kutambua kwa hakika kuwa jambo hili ni baya na hili ni zuri na akatutaka tutumie akili hizo hizo tuyashinde matamanio yetu kwa kufanya mazuri tu na bado akatuletea na mitume na manabii na vitabu vyake vitukufu kwa dhana hii ni kwamba hapa Mungu ametuonea huruma sana wanadamu na ndio maana akatupa nyenzo zote za kumshinda Ibilisi hivyo kuliko kulalamika ni bora kujitahidi kufanya mema.
 
Mkuu mwaga shule, utabarikiwa sana, niamini utakuwa umetutoa wengi gizani.

[emoji106][emoji106][emoji106] kama unataka jamaa amwage madini kuhusu hili jambo naomba tuweke likes za kutosha ili jamaa aone umuhimu wa kutoa shule hii. Likes za kutosha please.
 
wakati MUNGU anataka kumuumba bin-adam,alisema"na tumuumbe m2 kwa mfano we2" manake si kufanana nae kwa sura tu!! hapana,,,2na nguvu kubwa za kiakili{ndo manake 2meendelea sana kisayansi},,,2na nguvu kubwa sana kiroho'nikimaanisha positive power {roho ya KIMUNGU-ndo manake baadhi ye2 wanauwezo wa kuombea wagonjwa wakapona na kufukuza mapepo pia,pia kuna manabii walikuwa na uwezo wa kufufua wa2 kam YESU KRISTO na nabii ELIA MTISHBI},,,pia 2na negative positive{roho ya kishetani-ndo manake tunalogana wenyewe kwa wenyewe, nambo kama hayo}..........niende kwenye point,,,,,binadamu tumeumbwa na HLKA,yaani binadamu anajiongeza kutokana na mazingira,mfano aligundua kutengeneza nyumba baada ya kuona hali ya hewa na wanayam wakali wanazingua,aligundua moto baada ya kuona baridi ni kali na pia kuchoka kula nyama mbichi n.k,tofauti na wanayama wanaofuata SILKA yaani wao tangu waumbwe mfumo wao wa maisha ni uleule!! unaona bwana!! sasa basi kutokana na akili nyingi alizo nazo binadamu wakati mwingine tunavuka mipaka{sio kwamba MUNGU hawezi kutudhibiti no } MUNGU alichoka na upweke kumbuka biblia kitabu cha mwanzo kinasema[hapo mwanzo ROHO YA MUNGU ILITULIA JUU ya maji} yaani upweke ulimchosha MUNGU ndo manake akaona ajitengenezee CHANGAMOTO,na moja ya CHANGAMOTO ni VISA VYA BINADAMU NA MAJINI!!!!!!...."nimejaribu kukuelewesha ila sio lazima liwe ndo jibu la mwisho}
 
sawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…