Kuna uwezekano wa Mungu kuwa na nguvu sawa kitu alichokiumba (shetani)?

Wasichojua wengi ni kwamba nguvu zote za giza unazojua na usizojua zilitoka kwa Muumba ila zikageuzwa kinyume na yeye.
 
Kwa maana hiyo MUNGU ndiye aliyemuumbia mwanadamu tamaa na halafu tamaa hiyo hiyo ndiyo inakuwa mwanzo wa anguko la mwanadamu.

Hivi leo hii mhandisi akikabidhiwa daraja ajenge, akajenga baada muda fulani likabomoka,
Je, atakaelaumiwa atakuwa ni mhandisi au daraja lililobomoka?
 
Namna pekee ya Shetani kuwa sawa na Mungu ni iwapo naye asingeumbwa.

Ukishasema aliumbwa, basi mwondoe kabisa kwenye kundi hilo.
 
Mhandisi atalaumiwa Endapo ataweka Misingi Iliyo mibovu kwenye Daraja na hata material yasiyojitoleza na Huku akijua Kuwa material hayo hayawezi kuimili Mikiki ya Magari..

Yaanu tuseme Mhandisi Asiweke Nondo aweke Mbao kati ya Zege akitegemea inaweza kushikirua Zege..
 
Sasa mbona mwanadamu analaumiwa sana kwani binadamu kajiumba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…