Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,926
- 95,626
Leo April 13, ni siku ya kumbukumbu ya miaka 100 ya kuzaliwa Kwa muasisi wa Taifa Letu, Tanzania.Wanabodi,
Kuna uwezekano uelewa wa Watanzania walio wengi kuelewa mambo makubwa, ni uelewa finyu, uelewa mdogo, uelewa duni au uelewa wenye mushkeli?. Maana kuna siku niliwahi kuandika makala fulani, kwenye gazeti fulani, kuulizia jambo fulani, tena na alama ya kuuliza ikawekwa!, niliitwa mahali kuhojiwa! Ati nimetoa statement fulani!, Nilipouliza ni statement gani?, mbona nimeuliza swali, nikajibiwa "alama ya kuuliza haikuonekana!
Hii ni kufuatia wengi kutomwelewa Humphrey Polepole. Nikimwangalia Polepole na kumsikiliza kwa makini, namuona kabisa, hii ni reincarnation ya Mwalimu Nyerere! Sasa hawa madogo wengi za sasa ambao hawakumjua Mwalimu, kama Mwalimu angekuwepo, wangemuelewa kweli?
Mbona mimi najiona kama namwelewa sana Polepole!
Hebu msikilize hapa, angalia jinsi anavyoongea.
Ni kama Mwalimu kabisa!
Kwenye ule mkutano wa Mwalimu Nyerere na Waandishi wa Habari, wa Simba Grill, Hoteli ya Kilimajaro, mwaka 1995, mimi nilikuwepo.
Mwalimu alisema kila anapokwenda, anatembea na vijitabu viwili, Biblia na Azimio la Arusha. Sasa kila akilisoma Azimio la Arusha, haoni kosa lolote. Serikali ya awamu ya pili ililifuta Azimio la Arusha, ikapitisha Azimio la Zanzibar. Mwalimu askasema, "serikali yetu imefanya mazuri na mengine ya kijinga! akashangaa, awamu iliyofuata, imeyaacha mazuri kama miiko ya Uongozi kwenye Azimio la Arusha, na kukumbatia ya kijinga"
Watu wasichoelewa kumhusu Polepole ni nini haswa?
Paskali
Update
Naunga mkono hoja, japo nimeishi Msasani jirani na kwa Nyerere, pale kwa Nyerere kwetu was a playing ground, japo nimesali St. Peters ambalo ni kanisa la Nyerere na alikuwa anasali misa ya asubuhi daily, lakini ni kweli naweza nisimfahamu Nyerere hivyo kuhitaji kumfahamu zaidi, na ili umfahamu mtu ni lazima ama uzungumze naye ama umuulizie taarifa zake. Thanks God kwa upande wangu I did both, nimezungumza na Nyerere, nimefanya nae mahojiano, hivyo kwa kiasi changu namfahamu Nyerere, na nimemzunguza sana tuu humu.
Mtu kufanana na mtu mwingine, sio lazima wafanane kila kitu, wanaweza kufanana mawazo, matendo, maneno, misimamo, tabia, etc. Polepole, anafanana na Nyerere kwa kuongea, anaongea kama Nyerere, ana kichwa kama cha Nyerere, hata umbo kama la Nyerere, he jokes kama Nyerere, nadhani he is intelligent kama Nyerere! Japo tuna viongozi wengi , sii wote ni viongozi intelligent kama Nyerere, Polepole is, lakini ukiwa huna intelligence ya kumwelewa Polepole, then Nyerere ndio kabisa!
Usiyoyajua Kuhusu Nyerere: Shuleni Alikuwa Toto Tundu!, Almanusura Afukuzwe Tabora School!
Wanabodi, Leo tunapomkumbuka Mwalimu, naombeni niwadokolee machache kumhusu mwalimu ambayo sidhani kama wengi mliyafahamu, na kama wapo ni yale waliyoyafahamu kwa kuyasikia tuu lakini hayajaandikwa popote!. Baba yake alikuwa ni Chifu na alikuwa na wake 22!. Jee unawafahamu ndugu wengine wa...www.jamiiforums.com
Baba Mzazi wa Mwalimu Nyerere, Chief Burito alioa wake 22. Je, alikuwa na Watoto Wangapi?
Wanabodi, Wakati tukiadhimisha miaka 17 ya Tanzania bila Nyerere, kuna sisi baadhi yetu tuko kama Tomaso, tuna shauku ya kuujua tuu ukweli halisi for getting to know,knowledge na wala sio kwa lengo lingine lolote baya kufuatilia maisha binafsi ya familia za watu. Watoto wengine wa Chifu...www.jamiiforums.com
Magufuli kama Nyerere: Ni mtu wa watu, hapapasi, hamung'unyi, ni kazi tuu, ila pia sio kama Nyerere!
Wanabodi, Naomba kuanza kwa kudeclare interest, japo mimi ni mwanachama wa chama cha siasa, lakini sio mfuasi wa mwanasiasa yoyote, wa chama chochote, ila kuna baadhi ya viongozi nilikuwa nawakubali sana!, John Pombe Magufuli, hakuwa ni miongoni mwao, kwa sababu kadhaa wa kadhaa, moja ikiwa...www.jamiiforums.com
Kumbe watu wa Nyerere bado wapo na wana misimamo kama Nyerere. Hongera MFA, Dr. Mahiga kwa msimamo, tusikubali kuyumbishwa
Wanabodi, So mara moja wala mbili, media za nje zinaripoti taarifa negative kuhusu Tanzania. This time Shirika la Habari la Uingereza Reuters, limeripoti habari chafu kuichafua Tanzania na rais wetu Magufuli, na mara nyingi huwa hawajibiwi, huwa tunanyamaza tuu, lakini this time kwenye taarifa...www.jamiiforums.com
Leo April 13, ni siku ya kumbukumbu ya miaka 100 ya kuzaliwa Kwa muasisi wa Taifa Letu, Tanzania.
Najiunga na Watanzania wenzangu kuadhimisha siku hii kwa kutembelea mabandiko mbalimbali ya kujikumbusha kuhusu shujaa huyu na Baba wa Taifa Letu.
Wengine wanakuenzi Kwa mawazo, Kwa kuikubali falsafa yako.
Wengine wanakuenzi Kwa maneno Kwa kuzungumzia Kwa mazuri yako.
Na tuko sisi tunaokuenzi Kwa vitendo Kwa kuitekeleza Dira na Dhima yako ya Rushwa ni adui wa haki, sitatoa wala kupokea, hivyo niligombea kuomba kuteuliwa kugombea nafasi fulani bila kutoa hata senti moja, na matokeo yake ni niliambulia patupu.
Pamoja na kutoka kapa Kwa kukuunga mkono Kwa vitendo, bado tutaendelea kukuenzi Kwa mawazo, maneno na vitendo kupitia kwenye kalamu yangu.
Happy Birthday Mwalimu Nyerere.
Pascal Mayalla Snr.
Na kweli... Pole Pole ni aina ya watu wapo kimaslahi zaidi. Atakosoa pale maslahi yake yanapokuwa hatarini.Wengi hawamfahamu Polepole vizuri,
Leo hii imekuwa ni adhimu sana kuwa na viongozi wenye uwezo wa kujenga hoja.Wanabodi,
Kuna uwezekano uelewa wa Watanzania walio wengi kuelewa mambo makubwa, ni uelewa finyu, uelewa mdogo, uelewa duni au uelewa wenye mushkeli?. Maana kuna siku niliwahi kuandika makala fulani, kwenye gazeti fulani, kuulizia jambo fulani, tena na alama ya kuuliza ikawekwa!, niliitwa mahali kuhojiwa! Ati nimetoa statement fulani!, Nilipouliza ni statement gani?, mbona nimeuliza swali, nikajibiwa "alama ya kuuliza haikuonekana!
Hii ni kufuatia wengi kutomwelewa Humphrey Polepole. Nikimwangalia Polepole na kumsikiliza kwa makini, namuona kabisa, hii ni reincarnation ya Mwalimu Nyerere! Sasa hawa madogo wengi za sasa ambao hawakumjua Mwalimu, kama Mwalimu angekuwepo, wangemuelewa kweli?
Mbona mimi najiona kama namwelewa sana Polepole!
Hebu msikilize hapa, angalia jinsi anavyoongea.
Ni kama Mwalimu kabisa!
Kwenye ule mkutano wa Mwalimu Nyerere na Waandishi wa Habari, wa Simba Grill, Hoteli ya Kilimajaro, mwaka 1995, mimi nilikuwepo.
Mwalimu alisema kila anapokwenda, anatembea na vijitabu viwili, Biblia na Azimio la Arusha. Sasa kila akilisoma Azimio la Arusha, haoni kosa lolote. Serikali ya awamu ya pili ililifuta Azimio la Arusha, ikapitisha Azimio la Zanzibar. Mwalimu askasema, "serikali yetu imefanya mazuri na mengine ya kijinga! akashangaa, awamu iliyofuata, imeyaacha mazuri kama miiko ya Uongozi kwenye Azimio la Arusha, na kukumbatia ya kijinga"
Watu wasichoelewa kumhusu Polepole ni nini haswa?
Paskali
Update
Naunga mkono hoja, japo nimeishi Msasani jirani na kwa Nyerere, pale kwa Nyerere kwetu was a playing ground, japo nimesali St. Peters ambalo ni kanisa la Nyerere na alikuwa anasali misa ya asubuhi daily, lakini ni kweli naweza nisimfahamu Nyerere hivyo kuhitaji kumfahamu zaidi, na ili umfahamu mtu ni lazima ama uzungumze naye ama umuulizie taarifa zake. Thanks God kwa upande wangu I did both, nimezungumza na Nyerere, nimefanya nae mahojiano, hivyo kwa kiasi changu namfahamu Nyerere, na nimemzunguza sana tuu humu.
Mtu kufanana na mtu mwingine, sio lazima wafanane kila kitu, wanaweza kufanana mawazo, matendo, maneno, misimamo, tabia, etc. Polepole, anafanana na Nyerere kwa kuongea, anaongea kama Nyerere, ana kichwa kama cha Nyerere, hata umbo kama la Nyerere, he jokes kama Nyerere, nadhani he is intelligent kama Nyerere! Japo tuna viongozi wengi , sii wote ni viongozi intelligent kama Nyerere, Polepole is, lakini ukiwa huna intelligence ya kumwelewa Polepole, then Nyerere ndio kabisa!
Usiyoyajua Kuhusu Nyerere: Shuleni Alikuwa Toto Tundu!, Almanusura Afukuzwe Tabora School!
Wanabodi, Leo tunapomkumbuka Mwalimu, naombeni niwadokolee machache kumhusu mwalimu ambayo sidhani kama wengi mliyafahamu, na kama wapo ni yale waliyoyafahamu kwa kuyasikia tuu lakini hayajaandikwa popote!. Baba yake alikuwa ni Chifu na alikuwa na wake 22!. Jee unawafahamu ndugu wengine wa...www.jamiiforums.com
Baba Mzazi wa Mwalimu Nyerere, Chief Burito alioa wake 22. Je, alikuwa na Watoto Wangapi?
Wanabodi, Wakati tukiadhimisha miaka 17 ya Tanzania bila Nyerere, kuna sisi baadhi yetu tuko kama Tomaso, tuna shauku ya kuujua tuu ukweli halisi for getting to know,knowledge na wala sio kwa lengo lingine lolote baya kufuatilia maisha binafsi ya familia za watu. Watoto wengine wa Chifu...www.jamiiforums.com
Magufuli kama Nyerere: Ni mtu wa watu, hapapasi, hamung'unyi, ni kazi tuu, ila pia sio kama Nyerere!
Wanabodi, Naomba kuanza kwa kudeclare interest, japo mimi ni mwanachama wa chama cha siasa, lakini sio mfuasi wa mwanasiasa yoyote, wa chama chochote, ila kuna baadhi ya viongozi nilikuwa nawakubali sana!, John Pombe Magufuli, hakuwa ni miongoni mwao, kwa sababu kadhaa wa kadhaa, moja ikiwa...www.jamiiforums.com
Kumbe watu wa Nyerere bado wapo na wana misimamo kama Nyerere. Hongera MFA, Dr. Mahiga kwa msimamo, tusikubali kuyumbishwa
Wanabodi, So mara moja wala mbili, media za nje zinaripoti taarifa negative kuhusu Tanzania. This time Shirika la Habari la Uingereza Reuters, limeripoti habari chafu kuichafua Tanzania na rais wetu Magufuli, na mara nyingi huwa hawajibiwi, huwa tunanyamaza tuu, lakini this time kwenye taarifa...www.jamiiforums.com
Mimi namwelewa sana huyu mwamba. Uelewa wangu kwa huyu mwamba ni kuwa yeye ni kigeugeu mkubwa na mchumia tumbo. Polepole wa katiba mpya, polepole wa JPM na polepole wa samia ni nafsi tatu tofauti kabisa. Yaani kuna mwana wa Mungu, mwana wa shetani na mwana wa kuzimu.πππ
View attachment 2057708
Asante sana. Umemaliza kabisa!!! Kama ni Darts umepiga BullMimi namwelewa sana huyu mwamba. Uelewa wangu kwa huyu mwamba ni kuwa yeye ni kigeugeu mkubwa na mchumia tumbo. Polepole wa katiba mpya, polepole wa JPM na polepole wa samia ni nafsi tatu tofauti kabisa. Yaani kuna mwana wa Mungu, mwana wa shetani na mwana wa kuzimu.
Bado nawewe hujamfahamu vizuri!Na kweli... Pole Pole ni aina ya watu wapo kimaslahi zaidi. Atakosoa pale maslahi yake yanapokuwa hatarini.
#Ndumilakuwili
Wewe lazima umuheshimu na kumuabudu, huyu ndio alikuwa akipitisha majina ya wagombea ubunge, bila kukuelewa ulikuwa upenyi sasa wewe unajua walikufanya nini katika chaguzi zao, tungeshangaa ungesema tofauti na haya. Wanakusubiria ufanyefyoko wakuonyeshe cha mtema kuni.Wanabodi,
Kuna uwezekano uelewa wa Watanzania walio wengi kuelewa mambo makubwa, ni uelewa finyu, uelewa mdogo, uelewa duni au uelewa wenye mushkeli?. Maana kuna siku niliwahi kuandika makala fulani, kwenye gazeti fulani, kuulizia jambo fulani, tena na alama ya kuuliza ikawekwa!, niliitwa mahali kuhojiwa! Ati nimetoa statement fulani!, Nilipouliza ni statement gani?, mbona nimeuliza swali, nikajibiwa "alama ya kuuliza haikuonekana!
Hii ni kufuatia wengi kutomwelewa Humphrey Polepole. Nikimwangalia Polepole na kumsikiliza kwa makini, namuona kabisa, hii ni reincarnation ya Mwalimu Nyerere! Sasa hawa madogo wengi za sasa ambao hawakumjua Mwalimu, kama Mwalimu angekuwepo, wangemuelewa kweli?
Mbona mimi najiona kama namwelewa sana Polepole!
Hebu msikilize hapa, angalia jinsi anavyoongea.
Ni kama Mwalimu kabisa!
Kwenye ule mkutano wa Mwalimu Nyerere na Waandishi wa Habari, wa Simba Grill, Hoteli ya Kilimajaro, mwaka 1995, mimi nilikuwepo.
Mwalimu alisema kila anapokwenda, anatembea na vijitabu viwili, Biblia na Azimio la Arusha. Sasa kila akilisoma Azimio la Arusha, haoni kosa lolote. Serikali ya awamu ya pili ililifuta Azimio la Arusha, ikapitisha Azimio la Zanzibar. Mwalimu askasema, "serikali yetu imefanya mazuri na mengine ya kijinga! akashangaa, awamu iliyofuata, imeyaacha mazuri kama miiko ya Uongozi kwenye Azimio la Arusha, na kukumbatia ya kijinga"
Watu wasichoelewa kumhusu Polepole ni nini haswa?
Paskali
Update
Naunga mkono hoja, japo nimeishi Msasani jirani na kwa Nyerere, pale kwa Nyerere kwetu was a playing ground, japo nimesali St. Peters ambalo ni kanisa la Nyerere na alikuwa anasali misa ya asubuhi daily, lakini ni kweli naweza nisimfahamu Nyerere hivyo kuhitaji kumfahamu zaidi, na ili umfahamu mtu ni lazima ama uzungumze naye ama umuulizie taarifa zake. Thanks God kwa upande wangu I did both, nimezungumza na Nyerere, nimefanya nae mahojiano, hivyo kwa kiasi changu namfahamu Nyerere, na nimemzunguza sana tuu humu.
Mtu kufanana na mtu mwingine, sio lazima wafanane kila kitu, wanaweza kufanana mawazo, matendo, maneno, misimamo, tabia, etc. Polepole, anafanana na Nyerere kwa kuongea, anaongea kama Nyerere, ana kichwa kama cha Nyerere, hata umbo kama la Nyerere, he jokes kama Nyerere, nadhani he is intelligent kama Nyerere! Japo tuna viongozi wengi , sii wote ni viongozi intelligent kama Nyerere, Polepole is, lakini ukiwa huna intelligence ya kumwelewa Polepole, then Nyerere ndio kabisa!
Usiyoyajua Kuhusu Nyerere: Shuleni Alikuwa Toto Tundu!, Almanusura Afukuzwe Tabora School!
Wanabodi, Leo tunapomkumbuka Mwalimu, naombeni niwadokolee machache kumhusu mwalimu ambayo sidhani kama wengi mliyafahamu, na kama wapo ni yale waliyoyafahamu kwa kuyasikia tuu lakini hayajaandikwa popote!. Baba yake alikuwa ni Chifu na alikuwa na wake 22!. Jee unawafahamu ndugu wengine wa...www.jamiiforums.com
Baba Mzazi wa Mwalimu Nyerere, Chief Burito alioa wake 22. Je, alikuwa na Watoto Wangapi?
Wanabodi, Wakati tukiadhimisha miaka 17 ya Tanzania bila Nyerere, kuna sisi baadhi yetu tuko kama Tomaso, tuna shauku ya kuujua tuu ukweli halisi for getting to know,knowledge na wala sio kwa lengo lingine lolote baya kufuatilia maisha binafsi ya familia za watu. Watoto wengine wa Chifu...www.jamiiforums.com
Magufuli kama Nyerere: Ni mtu wa watu, hapapasi, hamung'unyi, ni kazi tuu, ila pia sio kama Nyerere!
Wanabodi, Naomba kuanza kwa kudeclare interest, japo mimi ni mwanachama wa chama cha siasa, lakini sio mfuasi wa mwanasiasa yoyote, wa chama chochote, ila kuna baadhi ya viongozi nilikuwa nawakubali sana!, John Pombe Magufuli, hakuwa ni miongoni mwao, kwa sababu kadhaa wa kadhaa, moja ikiwa...www.jamiiforums.com
Kumbe watu wa Nyerere bado wapo na wana misimamo kama Nyerere. Hongera MFA, Dr. Mahiga kwa msimamo, tusikubali kuyumbishwa
Wanabodi, So mara moja wala mbili, media za nje zinaripoti taarifa negative kuhusu Tanzania. This time Shirika la Habari la Uingereza Reuters, limeripoti habari chafu kuichafua Tanzania na rais wetu Magufuli, na mara nyingi huwa hawajibiwi, huwa tunanyamaza tuu, lakini this time kwenye taarifa...www.jamiiforums.com
Pole pole aongoze nchi gani sasa? Hebu tupunguzieni idadi ya marais wanaofia Ikulu. Muache aende Cuba. Anaweza kupata tiba ya UKIMWI wake kuleBarikiwa Mkuu, binafsi nimamkubali sana Polepole.
Kuna kundi la JPM ukiwatizama na kuwasikiliza Kwa umakini na akili, utagundua ni watu wanaopaswa kuongoza hii Nchi.
Sio hivi vichwa vya kubwabwaja na majungu vya akina Nape na Makamba
Wanabodi,
Kuna uwezekano uelewa wa Watanzania walio wengi kuelewa mambo makubwa, ni uelewa finyu, uelewa mdogo, uelewa duni au uelewa wenye mushkeli?. Maana kuna siku niliwahi kuandika makala fulani, kwenye gazeti fulani, kuulizia jambo fulani, tena na alama ya kuuliza ikawekwa!, niliitwa mahali kuhojiwa! Ati nimetoa statement fulani!, Nilipouliza ni statement gani?, mbona nimeuliza swali, nikajibiwa "alama ya kuuliza haikuonekana!
Hii ni kufuatia wengi kutomwelewa Humphrey Polepole. Nikimwangalia Polepole na kumsikiliza kwa makini, namuona kabisa, hii ni reincarnation ya Mwalimu Nyerere! Sasa hawa madogo wengi za sasa ambao hawakumjua Mwalimu, kama Mwalimu angekuwepo, wangemuelewa kweli?
Mbona mimi najiona kama namwelewa sana Polepole!
Hebu msikilize hapa, angalia jinsi anavyoongea.
Ni kama Mwalimu kabisa!
Kwenye ule mkutano wa Mwalimu Nyerere na Waandishi wa Habari, wa Simba Grill, Hoteli ya Kilimajaro, mwaka 1995, mimi nilikuwepo.
Mwalimu alisema kila anapokwenda, anatembea na vijitabu viwili, Biblia na Azimio la Arusha. Sasa kila akilisoma Azimio la Arusha, haoni kosa lolote. Serikali ya awamu ya pili ililifuta Azimio la Arusha, ikapitisha Azimio la Zanzibar. Mwalimu askasema, "serikali yetu imefanya mazuri na mengine ya kijinga! akashangaa, awamu iliyofuata, imeyaacha mazuri kama miiko ya Uongozi kwenye Azimio la Arusha, na kukumbatia ya kijinga"
Watu wasichoelewa kumhusu Polepole ni nini haswa?
Paskali
Naunga mkono hoja, hata mimi niliwahi kushauri Kuna uwezekano Watanzania tuna tatizo la uelewa? Nikimsikiliza Polepole, namuona Mwl. Nyerere. Nyie msiomuelewa Polepole, je Nyerere mngemuelewa? kisha Japo anaonekana mtu wa kawaida tu ndani ya CCM, Humphrey Polepole sio mtu wa kawaida!, He is extra ordinary very powerful!Watu watake, wasitake lazima Pole2 awe rais wa JMT. Hata kama yeye hataki, sie ^tutamlazimisha.^ π
Polepole haibuki tena, chukua hii hata kama hupendiMuhimu kabisa ni kwamba Watanzania tujue kuwa hata watu wanzuri kama Polepole wafanyiwe fitina na kila aina ya uzandiki kwa kuitwa viroboto nk,bado watakuja kuibuka washindi ingawa hawashindani.
Mungu anaipenda sana Tanzania.
Namuombea Polepole aje kuwa Rais au Waziri Mkuu.