Kuna uwezekano Watanzania tuna tatizo la uelewa? Nikimsikiliza Polepole, namuona Mwl. Nyerere. Nyie msiomuelewa Polepole, je Nyerere mngemuelewa?

Polepole ni kigeugeu na wacha apotee kwenye ulingo wa siasa za nchi yetu maana hana faida kwa taifa hili kisiasa.Mtu anakwambia anaamini hili kesho akipewa kinafasi anageuka kupinga alichokipigania kwa nguvu kile alichokiamini ni wazi huyu mtu hapaswi kuaminika hata kidogo maana akipewa tena nafasi au zawadi kesho hata ya sasa atapiga chini.Polepole alijimaliza kisiasa awamu ya 5 ,alivyoishi awamu hiyo ndilo kaburi limelomzika sasa anatapatapa tu

Inaonesha jamaa hata zile mbwembwe alizokuwa nazo kabla ya kupewa madaraka makubwa (za kutetea taifa) alizifanya ili tu wenye mamlaka wamwone wampe tonge ale na ndiyo sababu alifanya kinyume cha aliyoyasimamia baada ya kupewa vyeo vikubwa.

UKIMWAMINI MSALITI UMEJIUA MWENYEWE NA KAMWE HUWEZI KUMLAUMU YEYOTE , POLEPOLE NI KAMA BINTI MALAYA ANAYEFICHA MAKOSA YAKE ILI APATE MUME AKISHAMPATA ANAOMESHA TABIA YAKE SAWASAWA AKIJUA UKIMPIGA CHINI MNAGAWANA MALI

Asiuliwe wala kuteswa aachwe 2025 apigwe chini jumla apotee ili akumbuke maandiko yasemayo MSHAHARA WA DHAMBI NI MAUTI
 
Chawa wa Magu,waunga juhudi na sukuma gang waungane waanzishe chama msajili ndugu yao atawapa usajili.Maana kufika 2025 awatokuwepo kabisa kwenye ramani ya siasa nchini
 
Wanabodi,

Kuna uwezekano uelewa wa Watanzania walio wengi kuelewa mambo makubwa, ni uelewa finyu, uelewa mdogo, uelewa duni au uelewa wenye mushkeli?. Maana kuna siku niliwahi kuandika makala fulani, kwenye gazeti fulani, kuulizia jambo fulani, tena na alama ya kuuliza ikawekwa!, niliitwa mahali kuhojiwa! Ati nimetoa statement fulani!, Nilipouliza ni statement gani?, mbona nimeuliza swali, nikajibiwa "alama ya kuuliza haikuonekana!

Hii ni kufuatia wengi kutomwelewa Humphrey Polepole. Nikimwangalia Polepole na kumsikiliza kwa makini, namuona kabisa, hii ni reincarnation ya Mwalimu Nyerere! Sasa hawa madogo wengi za sasa ambao hawakumjua Mwalimu, kama Mwalimu angekuwepo, wangemuelewa kweli?

Mbona mimi najiona kama namwelewa sana Polepole!

Hebu msikilize hapa, angalia jinsi anavyoongea.

Ni kama Mwalimu kabisa!

Kwenye ule mkutano wa Mwalimu Nyerere na Waandishi wa Habari, wa Simba Grill, Hoteli ya Kilimajaro, mwaka 1995, mimi nilikuwepo.

Mwalimu alisema kila anapokwenda, anatembea na vijitabu viwili, Biblia na Azimio la Arusha. Sasa kila akilisoma Azimio la Arusha, haoni kosa lolote. Serikali ya awamu ya pili ililifuta Azimio la Arusha, ikapitisha Azimio la Zanzibar. Mwalimu askasema, "serikali yetu imefanya mazuri na mengine ya kijinga! akashangaa, awamu iliyofuata, imeyaacha mazuri kama miiko ya Uongozi kwenye Azimio la Arusha, na kukumbatia ya kijinga"

Watu wasichoelewa kumhusu Polepole ni nini haswa?

Paskali
Update

Naunga mkono hoja, japo nimeishi Msasani jirani na kwa Nyerere, pale kwa Nyerere kwetu was a playing ground, japo nimesali St. Peters ambalo ni kanisa la Nyerere na alikuwa anasali misa ya asubuhi daily, lakini ni kweli naweza nisimfahamu Nyerere hivyo kuhitaji kumfahamu zaidi, na ili umfahamu mtu ni lazima ama uzungumze naye ama umuulizie taarifa zake. Thanks God kwa upande wangu I did both, nimezungumza na Nyerere, nimefanya nae mahojiano, hivyo kwa kiasi changu namfahamu Nyerere, na nimemzunguza sana tuu humu.

Mtu kufanana na mtu mwingine, sio lazima wafanane kila kitu, wanaweza kufanana mawazo, matendo, maneno, misimamo, tabia, etc. Polepole, anafanana na Nyerere kwa kuongea, anaongea kama Nyerere, ana kichwa kama cha Nyerere, hata umbo kama la Nyerere, he jokes kama Nyerere, nadhani he is intelligent kama Nyerere! Japo tuna viongozi wengi , sii wote ni viongozi intelligent kama Nyerere, Polepole is, lakini ukiwa huna intelligence ya kumwelewa Polepole, then Nyerere ndio kabisa!

Leo April 13, ni siku ya kumbukumbu ya miaka 100 ya kuzaliwa Kwa muasisi wa Taifa Letu, Tanzania.

Najiunga na Watanzania wenzangu kuadhimisha siku hii kwa kutembelea mabandiko mbalimbali ya kujikumbusha kuhusu shujaa huyu na Baba wa Taifa Letu.

Wengine wanakuenzi Kwa mawazo, Kwa kuikubali falsafa yako.

Wengine wanakuenzi Kwa maneno Kwa kuzungumzia Kwa mazuri yako.

Na tuko sisi tunaokuenzi Kwa vitendo Kwa kuitekeleza Dira na Dhima yako ya Rushwa ni adui wa haki, sitatoa wala kupokea, hivyo niligombea kuomba kuteuliwa kugombea nafasi fulani bila kutoa hata senti moja, na matokeo yake ni niliambulia patupu.

Pamoja na kutoka kapa Kwa kukuunga mkono Kwa vitendo, bado tutaendelea kukuenzi Kwa mawazo, maneno na vitendo kupitia kwenye kalamu yangu.

Happy Birthday Mwalimu Nyerere.
Pascal Mayalla Snr.
 
Kanywe naye champagne huko aliko
 
Wanabodi,

Kuna uwezekano uelewa wa Watanzania walio wengi kuelewa mambo makubwa, ni uelewa finyu, uelewa mdogo, uelewa duni au uelewa wenye mushkeli?. Maana kuna siku niliwahi kuandika makala fulani, kwenye gazeti fulani, kuulizia jambo fulani, tena na alama ya kuuliza ikawekwa!, niliitwa mahali kuhojiwa! Ati nimetoa statement fulani!, Nilipouliza ni statement gani?, mbona nimeuliza swali, nikajibiwa "alama ya kuuliza haikuonekana!

Hii ni kufuatia wengi kutomwelewa Humphrey Polepole. Nikimwangalia Polepole na kumsikiliza kwa makini, namuona kabisa, hii ni reincarnation ya Mwalimu Nyerere! Sasa hawa madogo wengi za sasa ambao hawakumjua Mwalimu, kama Mwalimu angekuwepo, wangemuelewa kweli?

Mbona mimi najiona kama namwelewa sana Polepole!

Hebu msikilize hapa, angalia jinsi anavyoongea.

Ni kama Mwalimu kabisa!

Kwenye ule mkutano wa Mwalimu Nyerere na Waandishi wa Habari, wa Simba Grill, Hoteli ya Kilimajaro, mwaka 1995, mimi nilikuwepo.

Mwalimu alisema kila anapokwenda, anatembea na vijitabu viwili, Biblia na Azimio la Arusha. Sasa kila akilisoma Azimio la Arusha, haoni kosa lolote. Serikali ya awamu ya pili ililifuta Azimio la Arusha, ikapitisha Azimio la Zanzibar. Mwalimu askasema, "serikali yetu imefanya mazuri na mengine ya kijinga! akashangaa, awamu iliyofuata, imeyaacha mazuri kama miiko ya Uongozi kwenye Azimio la Arusha, na kukumbatia ya kijinga"

Watu wasichoelewa kumhusu Polepole ni nini haswa?

Paskali
Update

Naunga mkono hoja, japo nimeishi Msasani jirani na kwa Nyerere, pale kwa Nyerere kwetu was a playing ground, japo nimesali St. Peters ambalo ni kanisa la Nyerere na alikuwa anasali misa ya asubuhi daily, lakini ni kweli naweza nisimfahamu Nyerere hivyo kuhitaji kumfahamu zaidi, na ili umfahamu mtu ni lazima ama uzungumze naye ama umuulizie taarifa zake. Thanks God kwa upande wangu I did both, nimezungumza na Nyerere, nimefanya nae mahojiano, hivyo kwa kiasi changu namfahamu Nyerere, na nimemzunguza sana tuu humu.

Mtu kufanana na mtu mwingine, sio lazima wafanane kila kitu, wanaweza kufanana mawazo, matendo, maneno, misimamo, tabia, etc. Polepole, anafanana na Nyerere kwa kuongea, anaongea kama Nyerere, ana kichwa kama cha Nyerere, hata umbo kama la Nyerere, he jokes kama Nyerere, nadhani he is intelligent kama Nyerere! Japo tuna viongozi wengi , sii wote ni viongozi intelligent kama Nyerere, Polepole is, lakini ukiwa huna intelligence ya kumwelewa Polepole, then Nyerere ndio kabisa!

Leo hii imekuwa ni adhimu sana kuwa na viongozi wenye uwezo wa kujenga hoja.
 
Mimi namwelewa sana huyu mwamba. Uelewa wangu kwa huyu mwamba ni kuwa yeye ni kigeugeu mkubwa na mchumia tumbo. Polepole wa katiba mpya, polepole wa JPM na polepole wa samia ni nafsi tatu tofauti kabisa. Yaani kuna mwana wa Mungu, mwana wa shetani na mwana wa kuzimu.
Asante sana. Umemaliza kabisa!!! Kama ni Darts umepiga Bull
 
Wanabodi,

Kuna uwezekano uelewa wa Watanzania walio wengi kuelewa mambo makubwa, ni uelewa finyu, uelewa mdogo, uelewa duni au uelewa wenye mushkeli?. Maana kuna siku niliwahi kuandika makala fulani, kwenye gazeti fulani, kuulizia jambo fulani, tena na alama ya kuuliza ikawekwa!, niliitwa mahali kuhojiwa! Ati nimetoa statement fulani!, Nilipouliza ni statement gani?, mbona nimeuliza swali, nikajibiwa "alama ya kuuliza haikuonekana!

Hii ni kufuatia wengi kutomwelewa Humphrey Polepole. Nikimwangalia Polepole na kumsikiliza kwa makini, namuona kabisa, hii ni reincarnation ya Mwalimu Nyerere! Sasa hawa madogo wengi za sasa ambao hawakumjua Mwalimu, kama Mwalimu angekuwepo, wangemuelewa kweli?

Mbona mimi najiona kama namwelewa sana Polepole!

Hebu msikilize hapa, angalia jinsi anavyoongea.

Ni kama Mwalimu kabisa!

Kwenye ule mkutano wa Mwalimu Nyerere na Waandishi wa Habari, wa Simba Grill, Hoteli ya Kilimajaro, mwaka 1995, mimi nilikuwepo.

Mwalimu alisema kila anapokwenda, anatembea na vijitabu viwili, Biblia na Azimio la Arusha. Sasa kila akilisoma Azimio la Arusha, haoni kosa lolote. Serikali ya awamu ya pili ililifuta Azimio la Arusha, ikapitisha Azimio la Zanzibar. Mwalimu askasema, "serikali yetu imefanya mazuri na mengine ya kijinga! akashangaa, awamu iliyofuata, imeyaacha mazuri kama miiko ya Uongozi kwenye Azimio la Arusha, na kukumbatia ya kijinga"

Watu wasichoelewa kumhusu Polepole ni nini haswa?

Paskali
Update

Naunga mkono hoja, japo nimeishi Msasani jirani na kwa Nyerere, pale kwa Nyerere kwetu was a playing ground, japo nimesali St. Peters ambalo ni kanisa la Nyerere na alikuwa anasali misa ya asubuhi daily, lakini ni kweli naweza nisimfahamu Nyerere hivyo kuhitaji kumfahamu zaidi, na ili umfahamu mtu ni lazima ama uzungumze naye ama umuulizie taarifa zake. Thanks God kwa upande wangu I did both, nimezungumza na Nyerere, nimefanya nae mahojiano, hivyo kwa kiasi changu namfahamu Nyerere, na nimemzunguza sana tuu humu.

Mtu kufanana na mtu mwingine, sio lazima wafanane kila kitu, wanaweza kufanana mawazo, matendo, maneno, misimamo, tabia, etc. Polepole, anafanana na Nyerere kwa kuongea, anaongea kama Nyerere, ana kichwa kama cha Nyerere, hata umbo kama la Nyerere, he jokes kama Nyerere, nadhani he is intelligent kama Nyerere! Japo tuna viongozi wengi , sii wote ni viongozi intelligent kama Nyerere, Polepole is, lakini ukiwa huna intelligence ya kumwelewa Polepole, then Nyerere ndio kabisa!

Wewe lazima umuheshimu na kumuabudu, huyu ndio alikuwa akipitisha majina ya wagombea ubunge, bila kukuelewa ulikuwa upenyi sasa wewe unajua walikufanya nini katika chaguzi zao, tungeshangaa ungesema tofauti na haya. Wanakusubiria ufanyefyoko wakuonyeshe cha mtema kuni.
Yaani unamkosea heshima mzee Julius hapa, kama angekuwa kama hawa hii nchi ingekuwa na vita kali kuliko rwanda, Jiwe, Pole na Bashiru ni kombinenga ya hovyo kabisa kuongoza nchi hii, hawa wamepoteza watu waliokuwa na mawazo tofauti na yao, hawataki ushindani kabisa na wanatumia madaraka yao kuangamiza upinzani. Sie tusingekubali bora Mwenyezi aliamua huu ugomvi.
 
Barikiwa Mkuu, binafsi nimamkubali sana Polepole.

Kuna kundi la JPM ukiwatizama na kuwasikiliza Kwa umakini na akili, utagundua ni watu wanaopaswa kuongoza hii Nchi.

Sio hivi vichwa vya kubwabwaja na majungu vya akina Nape na Makamba
Pole pole aongoze nchi gani sasa? Hebu tupunguzieni idadi ya marais wanaofia Ikulu. Muache aende Cuba. Anaweza kupata tiba ya UKIMWI wake kule
 
Pole pole aongoze nchi gani sasa? Hebu tupunguzieni idadi ya marais wanaofia Ikulu. Muache aende Cuba. Anaweza kupata tiba ya ... wake kule
Mkuu Stuxnet, huu ni unyanyapaa mbaya kabisa!. Tofauti za kisiasa zisitufanye tukapoteza utu na ubinadamu wetu!.

P
 
Wanabodi,

Kuna uwezekano uelewa wa Watanzania walio wengi kuelewa mambo makubwa, ni uelewa finyu, uelewa mdogo, uelewa duni au uelewa wenye mushkeli?. Maana kuna siku niliwahi kuandika makala fulani, kwenye gazeti fulani, kuulizia jambo fulani, tena na alama ya kuuliza ikawekwa!, niliitwa mahali kuhojiwa! Ati nimetoa statement fulani!, Nilipouliza ni statement gani?, mbona nimeuliza swali, nikajibiwa "alama ya kuuliza haikuonekana!

Hii ni kufuatia wengi kutomwelewa Humphrey Polepole. Nikimwangalia Polepole na kumsikiliza kwa makini, namuona kabisa, hii ni reincarnation ya Mwalimu Nyerere! Sasa hawa madogo wengi za sasa ambao hawakumjua Mwalimu, kama Mwalimu angekuwepo, wangemuelewa kweli?

Mbona mimi najiona kama namwelewa sana Polepole!

Hebu msikilize hapa, angalia jinsi anavyoongea.

Ni kama Mwalimu kabisa!

Kwenye ule mkutano wa Mwalimu Nyerere na Waandishi wa Habari, wa Simba Grill, Hoteli ya Kilimajaro, mwaka 1995, mimi nilikuwepo.

Mwalimu alisema kila anapokwenda, anatembea na vijitabu viwili, Biblia na Azimio la Arusha. Sasa kila akilisoma Azimio la Arusha, haoni kosa lolote. Serikali ya awamu ya pili ililifuta Azimio la Arusha, ikapitisha Azimio la Zanzibar. Mwalimu askasema, "serikali yetu imefanya mazuri na mengine ya kijinga! akashangaa, awamu iliyofuata, imeyaacha mazuri kama miiko ya Uongozi kwenye Azimio la Arusha, na kukumbatia ya kijinga"

Watu wasichoelewa kumhusu Polepole ni nini haswa?

Paskali

Watu watake, wasitake lazima Pole2 awe rais wa JMT. Hata kama yeye hataki, sie ^tutamlazimisha.^ 🙂
Naunga mkono hoja, hata mimi niliwahi kushauri Kuna uwezekano Watanzania tuna tatizo la uelewa? Nikimsikiliza Polepole, namuona Mwl. Nyerere. Nyie msiomuelewa Polepole, je Nyerere mngemuelewa? kisha Japo anaonekana mtu wa kawaida tu ndani ya CCM, Humphrey Polepole sio mtu wa kawaida!, He is extra ordinary very powerful!
P
 
Reincarnation is the religious or philosophical belief that the soul or spirit, after biological death, begins a new life in a new body that may be human, animal or spiritual depending on the moral quality of the previous life's actions.
 
Muhimu kabisa ni kwamba Watanzania tujue kuwa hata watu wanzuri kama Polepole wafanyiwe fitina na kila aina ya uzandiki kwa kuitwa viroboto nk,bado watakuja kuibuka washindi ingawa hawashindani.
Mungu anaipenda sana Tanzania.
Namuombea Polepole aje kuwa Rais au Waziri Mkuu.
 
Polepole haibuki tena, chukua hii hata kama hupendi
 
Back
Top Bottom