Kuna viashiria kuwa wananchi wameanza kuunga mkono njia za nguvu

Kuna viashiria kuwa wananchi wameanza kuunga mkono njia za nguvu

Hivi wewe mwendawazimu, ni lini utakuja kuijiwa na akili timamu? Kwa kuwa huna akili ya kutafakari mambo, ni vema ungekuwa na subira, uone wenye akili timamu wanasema nini, kuliko kila wakati kujitokeza haraka na kuweka takataka zako hapa!!
Siku zote anguko huanza na kiburi hasa cha watawala kudharau wananchi historia mwalimu mzuri sana wakati utatueleza kwa sasa wameziba masikio
 
Inawezekana TFF ikawa shirika la kwanza kufaulu kwenye dira yake, achana na ile TFF ya Simba na Yanga.

Naunga mkono lolote linalofanywa kupinga serikali hii ya kishetani
 
Back
Top Bottom