K kijereshi JF-Expert Member Joined Apr 2, 2012 Posts 1,169 Reaction score 1,573 Feb 22, 2026 #21 Hamatan said: Hivi wewe mwendawazimu, ni lini utakuja kuijiwa na akili timamu? Kwa kuwa huna akili ya kutafakari mambo, ni vema ungekuwa na subira, uone wenye akili timamu wanasema nini, kuliko kila wakati kujitokeza haraka na kuweka takataka zako hapa!! Click to expand... Siku zote anguko huanza na kiburi hasa cha watawala kudharau wananchi historia mwalimu mzuri sana wakati utatueleza kwa sasa wameziba masikio
Hamatan said: Hivi wewe mwendawazimu, ni lini utakuja kuijiwa na akili timamu? Kwa kuwa huna akili ya kutafakari mambo, ni vema ungekuwa na subira, uone wenye akili timamu wanasema nini, kuliko kila wakati kujitokeza haraka na kuweka takataka zako hapa!! Click to expand... Siku zote anguko huanza na kiburi hasa cha watawala kudharau wananchi historia mwalimu mzuri sana wakati utatueleza kwa sasa wameziba masikio
K kijereshi JF-Expert Member Joined Apr 2, 2012 Posts 1,169 Reaction score 1,573 Feb 22, 2026 #22 Salary Slip said: Watu wanaona hamna option nyingine zaidi ya huo uasi. Click to expand... Hakika kibaya zaidi watawala wameziba masikio hawataki kusikiliza
Salary Slip said: Watu wanaona hamna option nyingine zaidi ya huo uasi. Click to expand... Hakika kibaya zaidi watawala wameziba masikio hawataki kusikiliza
Mbaga Jr JF-Expert Member Joined May 28, 2018 Posts 54,814 Reaction score 133,717 Feb 22, 2026 #23 Inawezekana TFF ikawa shirika la kwanza kufaulu kwenye dira yake, achana na ile TFF ya Simba na Yanga. Naunga mkono lolote linalofanywa kupinga serikali hii ya kishetani
Inawezekana TFF ikawa shirika la kwanza kufaulu kwenye dira yake, achana na ile TFF ya Simba na Yanga. Naunga mkono lolote linalofanywa kupinga serikali hii ya kishetani