Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
πππMbona kauli zinafanana na za Aquilina,hizi kauli wanazihifadhi kwenye kofia?
Kama madereva wenzake walimpeleka! Inamaana wao hawahusiki ila madereva wenzake ndio wakuhojiwa, sungura mjanja.
Hapa ndiyo unaonaga umuhimu wa watu kama wakina njemba wa kigomaKwa hiyo walikuwa wanamtibu kwa kumrusha toka juu ya gari?
Majibu rahisi kwenye tuhuma nzito kama hii
Dhulma hii ya kiumbe huyo haitawaacha salama
Unataka daktari asakwe ?INGEPENDEZA TAARIFA TUKAPEWA NA DAKITARI
Uandishi gani huu wa habari!
====
Toa details za wahusika, mazingira yalikuwaje, ndipo utoe taarifa ya tukio zima. Siyo wote wanaelewa unayoelewa juu ya mkasa huu. Hata hivyo asante sana mleta mada kwa kutujuza uwepo wa mkasa huu.
====
Moderators, mkiwa mnapata wasaa muwe 'mnatupiga shule', namna ya kuwasiliza taarifa hapa JF.
Na kwamba walipomkamata waligundua kwamba anaumwa ambapo madereva wenzake walipompeleka kwenye hospitali ya Chimala aligundulika kuwa na homa ya mapafu, hayo yamesemwa na Kaimu Kamanda wa polisi mkoa wa Mbeya Jerome Ngowi
View attachment 1689757
Natoa pole kwa wafiwa na Namuomba Mwenyezi Mungu aipokee roho ya Marehemu Dereva , Amina
Na kwamba walipomkamata waligundua kwamba anaumwa ambapo madereva wenzake walipompeleka kwenye hospitali ya Chimala aligundulika kuwa na homa ya mapafu, hayo yamesemwa na Kaimu Kamanda wa polisi mkoa wa Mbeya Jerome Ngowi
View attachment 1689757
Natoa pole kwa wafiwa na Namuomba Mwenyezi Mungu aipokee roho ya Marehemu Dereva , Amina
Kazi zingine hizi laana nje nje.Nilijua tu lazima wachengeshe
Damu iliyo mwagika haitawaacha salama
Dah! wanalaana hawa watu mpaka basiKazi zingine hizi laana nje nje.
Ugonjwa huu haupo katika orodha ya magonjwa ya binadamuPolisi Mbeya wadai dereva wa lori alikuwa na homa ya mapafu
Mbeya. Jeshi la Polisi mkoani Mbeya limesema dereva wa lori, Abrahaman Hussein (61) aliyefariki dunia muda mfupi baada ya kumkamata alikuwa anasumbuliwa na ugonjwa wa homa ya mapafu
Wanafuata ilani za chama tawala.Sijawahi kuziamini taarifa za polisi hata siku moja.
Kwenye kiswahili kuna maneno mawili, dhima na Maudhi! Ukitofautisha maneno haya utaelewa ujumbe ulio kwenye bandiko langu. Karibu.Uandishi gani huu?
Toa kibanzi jichoni kwako kabla ya kutoa boriti la jicho la mwenzako.
"Kuwasiliza" ni nini!?
Ha ha ha haaaa! Mkuu. Umeanza tena 'sarakasi'. Ha ha haaaa!Wanafuata ilani za chama tawala.
Mungu atawalipa